Tuwatie Adabu, Wanastahili adhabu!

Laiti CCM wangependekeza mgombea mwingine walau inge make sense lakini kumrudisha Mtulia ni matusi kwa wananchi.
Nyarandu mlimwonea sana kwa kutomrudisha akagombee jimbo lake kupitia chama chenu baada ya kuchoshwa na utendaji wa ccm. Hamkumtendea haki hata kidogo. Hadi sasa anasononeka kuukosa ubunge ambao alikuwa ana uhakika angaliurejesha akiwa kamanda. Kama angalijua hangaliamua kuhamia chama hicho chenye roho mbaya. Ndiyo maana hashiriki hata kuwanadi hao wagombea wenu akina Mwalimu.

Chama cha ccm hakina uonevu wa aina hiyo na ndiyo maana kikampa Mtulia nafasi ya kutetea kiti chake. Eti nyie mliona kumrudisha Nyarandu ingalikuwa ni matusi kwa wananchi!! It is the vice versa - yaani kutomrudisha Nyarandu ilikuwa ni matusi kwa wananchi wa jimbo la Singida kaskazini. Hivyo ni nyoe ndiyo mnastahili kutiwa adabu.
 
Kama vp mkuu jitolee kwa kujipiga moto hadi kufa pengine kwa tukio hiko laweza kuwa ndiyo kichocheo kwa watanzania na kuamua kuiondoa ccm hata kwa kumwagika damu.

Lazima wawepo wa kujitoa muhanga.
Vita huwaga haichagui mzee kijana wala mtoto...leo mmepoteza uhai wa msichana wa watu kwa kumpiga Risasi bila huruma,hiyo ndo damu yenyewe Sasa mashetani wakubwa nyie
 
Nyarandu mlimwonea sana kwa kutomrudisha akagombee jimbo lake kupitia chama chenu baada ya kuchoshwa na utendaji wa ccm. Hamkumtendea haki hata kidogo. Hadi sasa anasononeka kuukosa ubunge ambao alikuwa ana uhakika angaliurejesha akiwa kamanda. Kama angalijua hangaliamua kuhamia chama hicho chenye roho mbaya. Ndiyo maana hashiriki hata kuwanadi hao wagombea wenu akina Mwalimu.

Chama cha ccm hakina uonevu wa aina hiyo na ndiyo maana kikampa Mtulia nafasi ya kutetea kiti chake. Eti nyie mliona kumrudisha Nyarandu ingalikuwa ni matusi kwa wananchi!! It is the vice versa - yaani kutomrudisha Nyarandu ilikuwa ni matusi kwa wananchi wa jimbo la Singida kaskazini. Hivyo ni nyoe ndiyo mnastahili kutiwa adabu.
Nyarandu atakuwa mgombea 2020 sumbuka kufikiri kidogo Sio kila kitu kukurupuka. Miaka imebaki miwili Nyarandu 2020 anarudi bungeni sio ccm mtu anautema upinzani anarudi kugombea kwa ticket ya ccm yote ni kwa sababu ccm mabwege
Next.........
 
Wananchi wa jimbo la Kinondoni tusicheke na CCM, lazima tupeleke meseji ya kuwashinda kupitia sanduku la kura, tujitokeze kwa wingi asubuhi

Mbona wanatutia adabu. Huu msiba umeusikia Mkuu
Nimesikia hii taarifa. Rais JPM inabidi atafakari upya nchi gani ya kidemokrasia tunaijenga. Tunapopambana kuleta maendeleo ya vitu bila kuangalia nafasi ya demokrasia itakuja kuharibu hata hivyo vitu tunavyopigania.
 
Vita huwaga haichagui mzee kijana wala mtoto...leo mmepoteza uhai wa msichana wa watu kwa kumpiga Risasi bila huruma,hiyo ndo damu yenyewe Sasa mashetani wakubwa nyie
Nadhani hukukusudia kuniquote mie mkuu.
 
Kesho ndio mtaona kosa alilofanya mwenye kiti wenu.

Mtajuutia kumleta mgombea kutoka visiwani bila kushauriana NA wana kinodoni

Mkirindi,
Unaelewa kuwa mwinyi ni mtu wa bara ila aligombea urais wa URT kwa tiketi ya Uzanzibari!??
 
Maandamano tayari ya kumsindikiza mbunge mteule Salum Mwalimu (CHADEMA) jimbo la Kinondoni kuelekea kula kiapo cha kuwa mwakilishi wa wana-Kinondoni bungeni hufanyika kila siku, kesho ni suala tu la kisheria kupigiwa kura nyingi za ndiyo

......
......woyo woyo toroka ujeeehh X2 mmamae magamba lazima yasande
 
Wakuu,

Ukweli lazima usemwe hata kama mchungu kiasi gani. Hatuwezi kujenga nchi ya kizalendo bila kuelezana ukweli. Marudio ya uchaguzi kinondoni mazingira yake ni aibu mno kwa Taifa maskini kama hili.

Laiti CCM wangependekeza mgombea mwingine walau inge make sense lakini kumrudisha Mtulia ni matusi kwa wananchi.

Wananchi wa kinondoni kwa umoja wenu watieni adabu CCM. Wanastahili adhabu, wanastahili kuoneshwa jeuri, wanastahili kushikishwa adabu.

Kinondoni toeni funzo! Si sababu ni CCM ...la hasha ....bali wamewakosea heshima ....mpelekeni Salim Mwalimu bungeni watie akili ....

MSIFANYE KOSA! NEVER!

f5a10e93cbf2c6970b851b2387027d43.jpg
Mheshimiwa MTAZAMO hahahahahahahahahahhahahahaahahhhaahahahhahah
 
Demokrasia inamaana pana sana; usitake kutoa tafsiri yake Katika ufupisho wake ukifanya hivyo utakua unakosea.

Tafsiri pana ya Demokrasia ni pamoja na haya yaliyotokea na kuendelea Siha na Kinondoni.

Haina haja ya kutuambia wanakinondoni cha kufanya tumeshaamua na tumeshamchagua Mgombea tumtakaye ; kupitia CCM.
 
Back
Top Bottom