Tuwatambue Wanamuziki wanaofanya muziki kwa hasara

Vee money hapigi show za Mbuzi mzeee...yani akipigaa show mojaaa juaa ni show 10 ambazo angefanya bongo malipo yakee..
 
View attachment 696604 View attachment 696606
Hiyo ndiyo show kubwa zaidi ya wasanii wa Africa duniani. Mwanadada Vanesa mdee ana perform kwenye miji miwili ambayo unaweza kuwa unaota kwenda hata kuzuga tu, ila yeye anaenda kupiga kazi. Kwa statistic za nanjilinji na sengerema zinambeba sana aslay, na ndio mwisho wa information mnazozipata ndio maana sishangai hii post yako. Inamaana haujui kuwa huyu bi dada juzi tu katoka kuperform kwenye Nigerian awards. Anyway, kwa upeo wako unaamini kuwa wanao perfom Dar live ndio mziki unawalipa.
View attachment 696606
hizo ndo fact sio watu wanakuja kupiga porojo tuu!! hapa!!
 
View attachment 696604 View attachment 696606
Hiyo ndiyo show kubwa zaidi ya wasanii wa Africa duniani. Mwanadada Vanesa mdee ana perform kwenye miji miwili ambayo unaweza kuwa unaota kwenda hata kuzuga tu, ila yeye anaenda kupiga kazi. Kwa statistic za nanjilinji na sengerema zinambeba sana aslay, na ndio mwisho wa information mnazozipata ndio maana sishangai hii post yako. Inamaana haujui kuwa huyu bi dada juzi tu katoka kuperform kwenye Nigerian awards. Anyway, kwa upeo wako unaamini kuwa wanao perfom Dar live ndio mziki unawalipa.
View attachment 696606
Kwa nyongeza yake juzi tu alikuwa Zanzibar kwa show
 
namwona wizkid davido na chibu na wasanii wengine wakubwa.....
 
View attachment 696604 View attachment 696606
Hiyo ndiyo show kubwa zaidi ya wasanii wa Africa duniani. Mwanadada Vanesa mdee ana perform kwenye miji miwili ambayo unaweza kuwa unaota kwenda hata kuzuga tu, ila yeye anaenda kupiga kazi. Kwa statistic za nanjilinji na sengerema zinambeba sana aslay, na ndio mwisho wa information mnazozipata ndio maana sishangai hii post yako. Inamaana haujui kuwa huyu bi dada juzi tu katoka kuperform kwenye Nigerian awards. Anyway, kwa upeo wako unaamini kuwa wanao perfom Dar live ndio mziki unawalipa.
View attachment 696606

mkuu umemuua vibaya mno!!

This is crueliest yet best action for the stupid ones
 
Kwa nyongeza yake juzi tu alikuwa Zanzibar kwa show

Pia wiki 2 zilizopita alikuwa kwenye shoe Nairobi

Kwenye list yako nilitegemea uwataje Chege, Mwana Fa , Joh Makini yaani watoa video nzuriii za nje ya nchi lakini sioni impact kwao
 
watu wengi hawamfahamu huyu kijana anayeitwa JUMA MUSA MKAMBALA alias JUX

wengi wanamchukulia poa kutokana na status yake ya mtoto wa kishua wa mama mkambala wa TPA

ila ngoja niwadokeze kidogo tu... huo mziki anaofanya na hiyo brand ya African Boy its just a cover up activity

they guy yupo loaded wit cash sitaki kuongelea ni nini anafanya...

ila jua siku itakapotokea tajiri wa ile kampunu ya G deshideshi M akikamatwa kwa biashara zake chafu ..jua ndo siku dunia itajua jux ni mtu wa aina gani

unafikiri vanesa ni mjinga kutoka na jux akaacha vigogo jibu rahisi tu ambacho angepata kwa vigogo kwa jux anakipata (pesa)

unafikiri vannesa alikamatwa na kuhojiwa kuhusu deshideshi kisa yy ndo anauza??? walitaka kumtumia kumdaka mchizi hawakujua mtandao wa mchizi ni ule wa tajiri pendwa wa bashite na baba yake yaani tajiri wa G deshideshi M

nimeongea hivi kwa sababu i know the guy
nafahamu hadi watu anaopiga nao kazi

usimu understimate yule bwana mdogo...
Mkuu umeongea vzr ila kwa mafumbo naomba utoe ufafanuzi vzr kazi anayofanya huyu Jux kama anauza ngada tuambie tu kaka acha uoga
 
swadaktaaa.... ngada....

miaka yote aliyokaa china yy ndo alikuwa main dealer and suplier wa ngada yote inayotoka TZ kuingia MACAU na GUANGZHOU

na hata yule mrembo aliyekuwa demu wake kabla ya V yaani jack clif ambaye anatumikia kifungo huko guangzhou ule mzigo aliodakwa nao mchizi anahusika 100%

kwa waliobahatika kuwa naye karibu wataelewa haya... they guy is living large pushing expensive rides like range rover sport and mercedece C class kwa mziki gani anaofanya ...kwa leo niishie hapa
Yeye anasema anasoma huko china.
 
ni kweli alikuwa anasoma pia... na alisha graduate last year...

kwa mtu yoyote anayefanya illegal activity na lazima awe na cover up activity kwa wakati husiku na eneo husika

nilijaribu tu kuongea hayo cos i know the guy personally.... na watu wengi wanahisi eti V ndo anamuhonga mchizi nikataka wamjue tu mchizi angalau kidogo na waache kumchukulia poa....

alikuwaga ni mtu wa show off yani akinunua gari mpya lazima apost na hadi kuna kipindi yy na patner wako walikuwa wakipost bundle za cash wakiwa bank ...na kama unakumbuka aliwahi pia kupost ile gorofa anayojenga

ila baada ya V kukamatwa na kuhojiwa na jamaa kufahamu kuwa V alikamatwa ili amchome yy since mtt wa kike ni mdhaifu jamaa siku hizi ameacha showoff

bwana mdogo now anamiliki a brand new range rover sport model of 2016 na anakaa apartment ya USD 1200 per month na soon anahamia kwenye ileeee gorofa aliyopostiki

narudia tena kwa mziki gani anaofanya..
Acha umbea
 
Back
Top Bottom