Tuwatambue wachumi waliodhihaki hatua za serikali tangu 2015

Mudawote

JF-Expert Member
Jul 10, 2013
10,033
12,490
GTs,

Kwa miaka kazaa tangu awamu ya 5 iingie madarakani kuna wachumi walijitokeza kumpiga sana Dkt magufuli na serikali yake juu ya muelekeo wa uchumi, wengine walienda mbali zaidi na kuona hii nchi ina hali mbaya sana. Wafuatao ni wachumi waliobeza:

1. Professor Ngowi: Alibeza uchumi kwenye andiko lake
2. Zitto Kabwe: Uchumi una hali mbaya
3. Freema Mbowe: Hali Mbaya ya Uchumi

Tuwajadili, je hawa wahusika wana uelewa wa uchumi au wana misukumo ya kisiasa zaidi katika kujadili uchumi wa taifa linalowalisha na kuwapa sehemu nono ya kulala?
 
Hao walikuwa wanatumiwa na Mabeberu sasa Mabeberu yamewaingiza king baada ya kukubali uzalendo wa Rais Magufuli.
 
GTs,

Kwa miaka kazaa tangu awamu ya 5 iingie madarakani kuna wachumi walijitokeza kumpiga sana Dkt magufuli na serikali yake juu ya muelekeo wa uchumi, wengine walienda mbali zaidi na kuona hii nchi ina hali mbaya sana. Wafuatao ni wachumi waliobeza:

1. Professor Ngowi: Alibeza uchumi kwenye andiko lake
2. Zitto Kabwe: Uchumi una hali mbaya
3. Freema Mbowe: Hali Mbaya ya Uchumi

Tuwajadili, je hawa wahusika wana uelewa wa uchumi au wana misukumo ya kisiasa zaidi katika kujadili uchumi wa taifa linalowalisha na kuwapa sehemu nono ya kulala?
Small minds discuss People🚮
 
Small minds discuss People🚮
I agree with you! I think Ze Zitto and his accomplices are small minded individuals because they are the ones who has made us have this thread given that their day and night arguments since 2015 about our economy has been directed to our number one Mzalendo Dr. Magufuli.
 
OOh Mudawote? Sorry, I forgot you're a Fulltime Idiot.
 
Hivi wakuu kwa afrika ni nchi ngapi zipo kwenye uchumi wa kati
Kama 21 hivi, mojawapo ya wenzetu ni Angola, Algeria, Cameroon, Kenya, Zambia,Zimbabwe na wengine wafananao na sisi kama Congo, Djibout, n.k...
 
According to Zitto, JK aliiacha per capita income ya $1060 mwaka 2015. Jiwe kaipeleka hadi $1,090. Kama hiyo ni kweli, fikiri kwanza kabla ya kutoa pongezi. Isitoshe mambo ya uchumi ni utabiri. Nani angejua 2015 kuwa leo 2020 kungekuwa na corona?
GTs,

Kwa miaka kazaa tangu awamu ya 5 iingie madarakani kuna wachumi walijitokeza kumpiga sana Dkt magufuli na serikali yake juu ya muelekeo wa uchumi, wengine walienda mbali zaidi na kuona hii nchi ina hali mbaya sana. Wafuatao ni wachumi waliobeza:

1. Professor Ngowi: Alibeza uchumi kwenye andiko lake
2. Zitto Kabwe: Uchumi una hali mbaya
3. Freema Mbowe: Hali Mbaya ya Uchumi

Tuwajadili, je hawa wahusika wana uelewa wa uchumi au wana misukumo ya kisiasa zaidi katika kujadili uchumi wa taifa linalowalisha na kuwapa sehemu nono ya kulala?
 
GTs,

Kwa miaka kazaa tangu awamu ya 5 iingie madarakani kuna wachumi walijitokeza kumpiga sana Dkt magufuli na serikali yake juu ya muelekeo wa uchumi, wengine walienda mbali zaidi na kuona hii nchi ina hali mbaya sana. Wafuatao ni wachumi waliobeza:

1. Professor Ngowi: Alibeza uchumi kwenye andiko lake
2. Zitto Kabwe: Uchumi una hali mbaya
3. Freema Mbowe: Hali Mbaya ya Uchumi

Tuwajadili, je hawa wahusika wana uelewa wa uchumi au wana misukumo ya kisiasa zaidi katika kujadili uchumi wa taifa linalowalisha na kuwapa sehemu nono ya kulala?
Mudawote

Kama kawaida lazima umtaje Mbowe somewhere,I was wondering usingemtaja!

I was right!

Haya sasa,tangu 2015,uchumi ulishawahi kua mzuri kwenye hii nchi?

I bet answers kutoka kwa wananchi ni NO!

Kwa mujibu wako ni YES,ila run poll hapa tuone wananchi watasemaje then tufunge huu mjadala!

Tusiende mbali,serikali haina dola tangu wiki iliyopita!

Benki zote zimetuma SMS kwa wateja wote kua hakuna TT kuanzia tarehe 1 July!

Maana yake ni kwamba serikali kupitia BOT na reserves zote hakuna kitu kinaitwa USD!

Maana yake ni kwamba hakuna importation ya aina yoyote kutoka nje kuja ndani for foreseable future!

Nchi itaishiwa bidhaa,masoko yatakauka,bidhaa zitakua hakuna,nchi tutaishi kwa rations...

Nasikia mafuta yameisha,solve USD crisis then mafuta then njoo hapa utanue matako!
 
Wewe mchawi kabisa. Huwa mnajifanya mnajua mambo ya serikali kumbe hamjui chochote, tena kizazi chenu cha waovu kinapaswa kiishe kabisa. Hatuna USD crisis mkuu, nakuhakikishia uzushi wote unaouamini utazidi kuwapoteza kwenye ramani za siasa Tanzania, sasa hivi kila mtanzania anaona kile ambacho Dkt Magufuli na Mwl Nyerere walikiona na kukisema. Korona tu iliwaumbua kinoma
 
Wewe mchawi kabisa.
Mchawi ndio mtu wa namna gani mkuu?

Anaeamini shetani?..Mimi siamini shetani wala siamini Mungu,nitoe kwenye hii list!
Huwa mnajifanya mnajua mambo ya serikali kumbe hamjui chochote, tena kizazi chenu cha waovu kinapaswa kiishe kabisa
Tunajua ndio maana,kama sijui nijulishe wewe basi!

Kizazi changu cha waovu,wewe chako cha watakatifu?Hujawahi tena dhambi yoyote?Wewe ni mkamilifu?I wonder kama unasema ukweli!

Kizazi changu kinapaswa kiishe,kwamba wewe ndio mtoa hukumu ya binadamu gani aishi na yupi afe sababu tu wanatofautiana na wewe mitizamo?

Unaona hii attitude ya kiharamia na kidikteta uliyonayo?Kwamba uue watu sababu tu wana maono tofauti na wewe?

Hatuna USD crisis mkuu, nakuhakikishia uzushi wote unaouamini utazidi kuwapoteza kwenye ramani za siasa Tanzania
Hakuna USD crisis sababu wewe umesema kutoka mdomoni mwako wakati watu wana SMS kutoka mabenki yao kuhusu kusitishwa kwa TT kuanzia July 1st??

Sasa tukuamini wewe mpiga yowe mwenzetu humu JF wakati SMS kutoka haya mabenki zinasema mengine?

Ni ukichaa kukuamini mtu kama wewe unaetoa rhetorical manure hapa bila evidence yeyote,ni bora niamini SMS za mabenki kuliko wewe mtoa maneno hewa!
sasa hivi kila mtanzania anaona kile ambacho Dkt Magufuli na Mwl Nyerere walikiona na kukisema
Usimweke Nyerere kwenye level za Magufuli....there is no correlation whatsoever!

Tafadhali,acha uzandiki huu wa comparison hii ya watu wawili wenye IQs na legacies mbili tofauti kabisa!
Korona tu iliwaumbua kinoma
Korona haijaisha na Idadi ya tunaoumwa korona TZ ni kubwa kuliko nchi kama Kenya mara tatu.

Tupo kwenye oven tunaiva na watu wanaokufa kwa misamiati yenu ya kipumbavu ya "matatizo ya kupumua" ni wengi,kachukue takwimu za mochwari zote ulete hapa uone stats!

Stop this please!
 
Muovu kabisa
Muovu kwa mujibu wa nani?

Wewe?

Moral authority ya kuita wenzio waovu sababu wamepingana na wewe mtazamo unaipata wapi?

Kama equal chance competitors kwenye huu mjadala umeniita "muovu" na mimi nakuita "muovu" pia maana nina haki sawa ya ku accuse my competitor with impunity kama ulivyofanya with impunity!
 
Hivi wewe unaweza jilinganisha na Pr Ngowi? Yeye sio.mchumia Tumbo hawazi kwa tumbo kama wewe.

Nenda hapo tu jimbo la Mtela Dodoma uone umasikini ulivyo au nedna jwa Ndugai kule uone nini maana ya Umasikini.

Msiwe mnashabikia kijingajinga wakati ndugu zenu vijijini wana maisha magumu sana
GTs,

Kwa miaka kazaa tangu awamu ya 5 iingie madarakani kuna wachumi walijitokeza kumpiga sana Dkt magufuli na serikali yake juu ya muelekeo wa uchumi, wengine walienda mbali zaidi na kuona hii nchi ina hali mbaya sana. Wafuatao ni wachumi waliobeza:

1. Professor Ngowi: Alibeza uchumi kwenye andiko lake
2. Zitto Kabwe: Uchumi una hali mbaya
3. Freema Mbowe: Hali Mbaya ya Uchumi

Tuwajadili, je hawa wahusika wana uelewa wa uchumi au wana misukumo ya kisiasa zaidi katika kujadili uchumi wa taifa linalowalisha na kuwapa sehemu nono ya kulala?
 
Zipo kibao ila tunavyo shangilia utazani sisi ndo wa kwanza na pia usisahau Ethiopia yuko kwenye uchumi wa kati kitambo ila maisha ya pale ethiopia usipime kabisa
Hivi wakuu kwa afrika ni nchi ngapi zipo kwenye uchumi wa kati
 
Hivi wewe unaweza jilinganisha na Pr Ngowi? Yeye sio.mchumia Tumbo hawazi kwa tumbo kama wewe.

Nenda hapo tu jimbo la Mtela Dodoma uone umasikini ulivyo au nedna jwa Ndugai kule uone nini maana ya Umasikini.

Msiwe mnashabikia kijingajinga wakati ndugu zenu vijijini wana maisha magumu sana
Kumbe weye ni mchumia tumbo!
 
Unajua Ethiopia iko kwenye Uchumi wa kati kitambo? Ila unajua life la huko ethiopia lilivyo taiti?

So usishangilia kana kwamba kuna pesa mtaingiziwa mifukoni mwenu, uchumi kuwa walati sio ishu, life liko pale pale umasikini uko pale pale
GTs,

Kwa miaka kazaa tangu awamu ya 5 iingie madarakani kuna wachumi walijitokeza kumpiga sana Dkt magufuli na serikali yake juu ya muelekeo wa uchumi, wengine walienda mbali zaidi na kuona hii nchi ina hali mbaya sana. Wafuatao ni wachumi waliobeza:

1. Professor Ngowi: Alibeza uchumi kwenye andiko lake
2. Zitto Kabwe: Uchumi una hali mbaya
3. Freema Mbowe: Hali Mbaya ya Uchumi

Tuwajadili, je hawa wahusika wana uelewa wa uchumi au wana misukumo ya kisiasa zaidi katika kujadili uchumi wa taifa linalowalisha na kuwapa sehemu nono ya kulala?
 
Raia wa kawaida ndo wanajua life ilivyo, wahitimu ndi wanajua life ilivyo wewe kusifia kwako hakuna maana

Back
Top Bottom