Tuwatambue wachumi waliodhihaki hatua za serikali tangu 2015

Mtafuta janga huambulia aibu tu, Achana na hao wenye PhD za mabeberu, njoo za UDSM
 
GTs,

Kwa miaka kazaa tangu awamu ya 5 iingie madarakani kuna wachumi walijitokeza kumpiga sana Dkt magufuli na serikali yake juu ya muelekeo wa uchumi, wengine walienda mbali zaidi na kuona hii nchi ina hali mbaya sana. Wafuatao ni wachumi waliobeza:

1. Professor Ngowi: Alibeza uchumi kwenye andiko lake
2. Zitto Kabwe: Uchumi una hali mbaya
3. Freema Mbowe: Hali Mbaya ya Uchumi

Tuwajadili, je hawa wahusika wana uelewa wa uchumi au wana misukumo ya kisiasa zaidi katika kujadili uchumi wa taifa linalowalisha na kuwapa sehemu nono ya kulala?
Hujuwi ulisemalo. Bora ukae kimya yajayo yanafurahisha
 
Back
Top Bottom