Tuwataje viongozi walio tunu kwa taifa

Nikukumbushe

JF-Expert Member
Jun 4, 2013
2,602
408
Bila kujali itikadi,chama,dini,kabila au eneo atokako naomba tuwataje viongozi ambo ni tunu kwa taifa hili.Kupitia wao kuna mambo ambayo yanabadilisha mfumo wa utawala wa ccm.
Kama huna cha kusema au kucomment potezea
 
Bila kujali
itikadi,chama,dini,kabila au eneo atokako naomba tuwataje viongozi ambo
ni tunu kwa taifa hili.Kupitia wao kuna mambo ambayo yanabadilisha mfumo
wa utawala wa ccm.
Kama huna cha kusema au kucomment potezea

So what! Tukisha wataja, what next?
 
Back
Top Bottom