Tuwasiliane ili kuweka maandamano makubwa zaidi hapa washington dc.

environmental

JF-Expert Member
Oct 11, 2010
1,054
137
Tutatoa picha hivi karibuni kuhusu maandamano yaliyopita.Ndugu zangu Watanzania wenye uchungu na nchi tuwasiliane ili kuweka mikakati mipya ya kufanya maandamo hapa.Nchi ya Tanzania inaitaji tiba na tiba itapatikana sasa hivi , na wewe ndie utakae mtibu huyu mama Tanzania.Acheni woga ,mwisho wa michezo yao imefika sasa hivi.Tufikilie sasa kuhusu future ya watoto wetu.SAA YA UKOMBOZI NI SASA.MUNGU IBARIKI TANZANIA.

Wasiliana nasi
simu 202 367 2761
301 655 6577
 
Tutatoa picha hivi karibuni kuhusu maandamano yaliyopita.Ndugu zangu Watanzania wenye uchungu na nchi tuwasiliane ili kuweka mikakati mipya ya kufanya maandamo hapa.Nchi ya Tanzania inaitaji tiba na tiba itapatikana sasa hivi , na wewe ndie utakae mtibu huyu mama Tanzania.Acheni woga ,mwisho wa michezo yao imefika sasa hivi.Tufikilie sasa kuhusu future ya watoto wetu.SAA YA UKOMBOZI NI SASA.MUNGU IBARIKI TANZANIA.

Wasiliana nasi
simu 202 367 2761
301 655 6577

Wabongo mnatakiwa kuwa serious. Camera za sikuhizi ni digital na hakuna sababu ya kuchelewesha picha.
 
Guys naomba tuache Utani kwenye issue serious 'Nyie watu mlisema mgeandamana long time na tarehe na siku mkatoa...... Sasa yaliishia wapi, please You need To Walk The Walk Sio kuongea tuuuuuu.....
 
Andamaneni ili muwe mfano kwa wale tulio nyumbani kwani mkipata coverage ya kutosha huko ughaibuni italeta image ya kimataifa kwamba nyumbani mambo si shwari na kwa kuwa hakuna uwongo katika hilo mtaungwa mkoni kimataifa pia ili muungwana anapokwenda kubembea azomewe!!
 
Kiboko kikitoka kwa Donors CCM na serikali yake wanaweza badilika.
Mkiandamana mtakuwa mmetusaidia
 
Jamani ee mbona kama imani yetu inaanza kuwa ndogo kama mnatuzuga???? jamani huku Bongo tunaumia kama mnalianzisha wahini kama mwenzetu alivyosema walk the talk
 
WanaJF wa Washington mbona mnatuchanganya??????? Tuliarifiwa kuwa mnaandamana na tayari mna kibali! Mbona hakuna progress report au na ninyi mshiko wa mafisadi zimekwishapenya mpaka huko?????????????????????? Tutieni moya basi Great Thinkers wa NY!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
kumbe hamjaandamana tu? fanyeni fasta bana huenda vasco da gama akafutiwa viza ya kuja kutalii huko
 
Hivi mlishaandamana haya ndo maandamano ya pili au ndio yale yale ya kwanza bado mnajikusanya fanyeni fasta isijefika 2015 bado mnajikusanya
 
Kweli nimeamini Watanzania hawana strategies. Mnaandamana kuhusu uchaguzi nchi za watu ili iweje? Tactic hiyo hutumika tu kama ishu ipo publicized kimataifa kwa maana mtaandamana na vyombo vya habari huku vita cover story na kuipa exposure. Sasa mtaandamana, hakuna atakae waona na wala Watanzania waliopo wengi hawata jua nini kiliendelea.

Mna taka kusend a strong message? Mkuu wa nchi ni lazima tu at some point ata kuja Marekani. Akija Marekani lazima afanye hafla ya kukutana na Watanzania waliopo huko. Mnataka msikike? Basi wote amueni kwamba hamtaenda kwenye shughuli yoyote ambayo mkulu ndiyo mgeni rasmi. Hapo ndipo mta sikika. Siyo kuandamana. Ila ninavyo wajua Watanzania kwa unafiki akija wengi wenu ndiyo mtakuwa wa kwanza kwenda kung'anga'nia photo op.
 
oya kama mnaogopa tutumieni viza sijui pasport siju nn huko sisi tunakuja kuandamana hukohuko, itakuwa bomba sana si hamna maji ya washawasha huko aisee
 
Mwanakijiji, huyo mgeni katia timu na panga tayari nje ya ala yake tu??? Au salamu kawanong'onezeeni huko jamaa. Mbona walisema wangeandamana siju tangu lini kule na wala ripoti hatoki mifukoni mwao??? au tunaganga naye njaa hapa hapa bongo tu????????
 
Back
Top Bottom