Ha ha na ndio kitakachotokea... Wazeee wa mkekaaaaa wanaweza kimsomea hata albadirTukimchekea huyu atatuzuia hata KUBETI
Swala hilo analo mezani its just time tu.Tukimchekea huyu atatuzuia hata KUBETI
Swala hilo analo mezani its just time tu.
Unakomwendea alishapita yy kitamboMkuu akituzuia mambo yetu haya namuendea kwa mzee Jongo bagamoyo watoto wa pool ndio watamchekea.akimwaga ugari namwaga mboga
Tafiti zinaonesha tuna tatizo la ajira linalotokana na kukosa ubunifu wa kujiajiri, kukosa mitaji, nafasi za ajira kushikiliwa na wanaotakiwa kupumzika au wenye vyeo zaidi ya kimoja, na kukosa miundo mbinu ya kiuchumi inayowafikia hata walio vijijini. Hatua muhimu inayopaswa kuchukuliwa na awamu hii ni kutatua hayo yote badala ya kulikuza lile moja la kukosa ubunifu ambalo kimsingi haliwahusu wote wasio na kazi. Na suluhisho siku zote linahitaji maono.
umenichekesha sanaTukimchekea huyu atatuzuia hata KUBETI
Grow up. I believe someone like you was just attending classes bodily and finally came out of school with nothing between your ears. Truly, if you have a degree, must you wait for Magufuli to give you a job? I think education awakens the sleeping giant in you, that is creativity. So, if you have a genuine education you should be the last one to complain.Wakati Mhe. Rais akidai kushangazwa na vijana kucheza Pool Table asubuhi. Je; Vijana nao waonyeshe mshangao wao kwake kwa kitendo chake cha kuwapa wastaafu ajira za ukuu wa mikoa huku wao na Degree zao wapo mtaani wanacheza pool table?