Tuwapuuze CHADEMA na suala la Katiba mpya, wana ajenda ya siri

SYLLOGIST!

JF-Expert Member
Dec 28, 2007
537
250
Nawasalimu katika jina la Chama Cha Mapinduzi. Kwa pamoja mjibu Chama kiendelee.

Nimeona leo niweke hili suala la katiba sawa ili kusaidia wajinga wengi wasioelewa na kuishia kuchotwa kijinga na Chama Cha Mbowe (Chadema).

Siku za hivi karibuni kumekuwa na kuhamasishana huko upande wa upinzani kutaka katiba mpya kwa maana iliyopo haifai. Kwa haraka haraka waweza kudhani wapinzani wana nia njema kumbe hakuna. Nitafafanua bila kutoza gharama yoyote ikiwa kama shukrani kwa mwenyezi kwa hii akili kubwa niliyojaliwa ili kusaidia binadamu wenzangu.

Kabla ya kuongelea CHADEMA na suala lao lazima tukubaliane watanzania wengi hawajasoma hii katiba mpya kujua yaliyomo. Wewe unayesoma hapa kuna ibara gani ya katiba waweza ikumbuka na kilichomo humo? Kwahiyo kabla ya kutaka katiba mpya lazima wawaeleze wafuasi wao kuisoma na kuielewa katiba iliyopo.

Kuwaswaga watu kama mifugo sio sawa. Kwa tunaoifahamu katiba hii iliyopo tunakubali kwamba ina mapungufu mengi hasa kwa nyakati hizi za vyama vingi na mabadiliko mbalimbali duniani. Kama enzi za Nyerere aliona ina mapungufu, je vipi nyakati hizi? Haina ubishi lazima kuna marekebisho yafanyike. Kwa mfano sifa ya mbunge ya kujua kusoma na kuandika imepitwa na wakati. Taifa kwa sasa lina wasomi wengi sana kwahiyo hakuna haja ya kupeleka bungeni watu wasio na elimu. Mifano ni mingi sana ya mapungufu kwenye katiba.

Kwanini tuwapuuze CHADEMA? Tunawapuuza kwasababu nia yao ni kutaka katiba itakayowawezesha kushika madaraka na kunufaisha genge la viongozi wachache na sio kumnufaisha mwananchi. Wakati ule wa mchakato wa kupata katiba mpya kupitia rasimu ya Warioba tuliona jinsi gani viongozi wa CHADEMA walivyoweka maslahi yao mbele kwa kudai serikali tatu kwanza badala ya kurekebisha mambo yanayomgusa mwananchi moja kwa moja.

Serikali tatu ni kumuongezea mwananchi gharama ya kuziendesha. Kwahiyo CHADEMA wanataka mabadiliko kwa manufaa ya viongozi sio wananchi wote. Nawasihi wananchi wote tutafute namna nyingine ya kubadili katiba yetu bila kutumjka na hili genge lenye maslahi binafsi.
Hapa ndugu yangu hujawatendea haki wananchi, nchi nzima, ambao walishiriki katika mjadala huu na kamisheni zilizopita za Katiba. Na bila kufuata kanuni za jibu stihaki unayoetegemea, niseme tu, Wacha kuwatukana Wananchi wanaodai Katiba mpya kwa kujificha katika siasa chafu. Chafu kudai ni CHADEMA ndio wanalitaka hili wakati ni dhahiri Watanzania wengi wanataka Katiba mpya.
Waziri sasa anataka avikwe nguvu za kutoa mismaha ya kodi, tena kwa siri yaani bila ridhaa ya wananchi,yaani bila kujadiliwa na bunge, bila kujadiliwa na yeyote yule hata Raisi. Hayo hapo tu inatosha kuona kuna usababu gani wa Katiba mpya.
Ndugu yangu wacha hizo siasa chafu.
 
Mag3

Platinum Member
May 31, 2008
12,177
2,000
Tofautisha CCM iliyobeba matumaini ya watanzania wote ukiwemo wewe na CHADEMA iliyobeba matumaini ya Mbowe.
Acha upumbavu, nani kakuambia mimi Chadema na hata ningekuwa Chadema, CCM niliikataa toka ilipoasisiwa mwaka 1977 pamoja na kutokuwepo chama chocote cha upinzani wakati huo. Kwangu mimi CCM ni adui mkubwa wa taifa hili kwani ndiyo inatuletea viongozi vichaa na mashetani wasio na hekima wala busara kama mwendazake Magufuli...heri kafa. Mtaji mkubwa wa CCM ni ujinga na upumbavu wa wapuuzi kama wewe.
 
Jaminati

Senior Member
Feb 18, 2021
175
250
Nawasalimu katika jina la Chama Cha Mapinduzi. Kwa pamoja mjibu Chama kiendelee.

Nimeona leo niweke hili suala la katiba sawa ili kusaidia wajinga wengi wasioelewa na kuishia kuchotwa kijinga na Chama Cha Mbowe (Chadema).

Siku za hivi karibuni kumekuwa na kuhamasishana huko upande wa upinzani kutaka katiba mpya kwa maana iliyopo haifai. Kwa haraka haraka waweza kudhani wapinzani wana nia njema kumbe hakuna. Nitafafanua bila kutoza gharama yoyote ikiwa kama shukrani kwa mwenyezi kwa hii akili kubwa niliyojaliwa ili kusaidia binadamu wenzangu.

Kabla ya kuongelea CHADEMA na suala lao lazima tukubaliane watanzania wengi hawajasoma hii katiba mpya kujua yaliyomo. Wewe unayesoma hapa kuna ibara gani ya katiba waweza ikumbuka na kilichomo humo? Kwahiyo kabla ya kutaka katiba mpya lazima wawaeleze wafuasi wao kuisoma na kuielewa katiba iliyopo.

Kuwaswaga watu kama mifugo sio sawa. Kwa tunaoifahamu katiba hii iliyopo tunakubali kwamba ina mapungufu mengi hasa kwa nyakati hizi za vyama vingi na mabadiliko mbalimbali duniani. Kama enzi za Nyerere aliona ina mapungufu, je vipi nyakati hizi? Haina ubishi lazima kuna marekebisho yafanyike. Kwa mfano sifa ya mbunge ya kujua kusoma na kuandika imepitwa na wakati. Taifa kwa sasa lina wasomi wengi sana kwahiyo hakuna haja ya kupeleka bungeni watu wasio na elimu. Mifano ni mingi sana ya mapungufu kwenye katiba.

Kwanini tuwapuuze CHADEMA? Tunawapuuza kwasababu nia yao ni kutaka katiba itakayowawezesha kushika madaraka na kunufaisha genge la viongozi wachache na sio kumnufaisha mwananchi. Wakati ule wa mchakato wa kupata katiba mpya kupitia rasimu ya Warioba tuliona jinsi gani viongozi wa CHADEMA walivyoweka maslahi yao mbele kwa kudai serikali tatu kwanza badala ya kurekebisha mambo yanayomgusa mwananchi moja kwa moja.

Serikali tatu ni kumuongezea mwananchi gharama ya kuziendesha. Kwahiyo CHADEMA wanataka mabadiliko kwa manufaa ya viongozi sio wananchi wote. Nawasihi wananchi wote tutafute namna nyingine ya kubadili katiba yetu bila kutumjka na hili genge lenye maslahi binafsi.
Katiba mpya ni lazima! Wale wanaccm ambao kuvaa kwao , kula kwao yaani kuendesha maisha yao yote hapa duniani wanaitegemeea ccm hawawez kutuzuia kudai katiba mpya
 
Lord OSAGYEFO

JF-Expert Member
Feb 19, 2021
1,335

Wewe ndio TUNAKUPUUZA KWA UJINGA WAKO KATIBA MPYA HAIEPUKIKI
 
Bila bila

JF-Expert Member
Dec 20, 2016
14,067
2,000
Nawasalimu katika jina la Chama cha Mapinduzi. Kwa pamoja mjibu Chama kiendelee.

Nimeona leo niweke hili suala la katiba sawa ili kusaidia wajinga wengi wasioelewa na kuishia kuchotwa kijinga na Chama Cha Mbowe (CHADEMA).

Siku za hivi karibuni kumekuwa na kuhamasishana huko upande wa upinzani kutaka katiba mpya kwa maana iliyopo haifai. Kwa haraka haraka waweza kudhani wapinzani wana nia njema kumbe hakuna. Nitafafanua bila kutoza gharama yoyote ikiwa kama shukrani kwa mwenyezi kwa hii akili kubwa niliyojaliwa ili kusaidia binadamu wenzangu.

Kabla ya kuongelea CHADEMA na suala lao lazima tukubaliane watanzania wengi hawajasoma hii katiba mpya kujua yaliyomo. Wewe unayesoma hapa kuna ibara gani ya katiba waweza ikumbuka na kilichomo humo? Kwahiyo kabla ya kutaka katiba mpya lazima wawaeleze wafuasi wao kuisoma na kuielewa katiba iliyopo.

Kuwaswaga watu kama mifugo sio sawa. Kwa tunaoifahamu katiba hii iliyopo tunakubali kwamba ina mapungufu mengi hasa kwa nyakati hizi za vyama vingi na mabadiliko mbalimbali duniani. Kama enzi za Nyerere aliona ina mapungufu, je vipi nyakati hizi? Haina ubishi lazima kuna marekebisho yafanyike. Kwa mfano sifa ya mbunge ya kujua kusoma na kuandika imepitwa na wakati. Taifa kwa sasa lina wasomi wengi sana kwahiyo hakuna haja ya kupeleka bungeni watu wasio na elimu. Mifano ni mingi sana ya mapungufu kwenye katiba.

Kwanini tuwapuuze CHADEMA? Tunawapuuza kwasababu nia yao ni kutaka katiba itakayowawezesha kushika madaraka na kunufaisha genge la viongozi wachache na sio kumnufaisha mwananchi. Wakati ule wa mchakato wa kupata katiba mpya kupitia rasimu ya Warioba tuliona jinsi gani viongozi wa CHADEMA walivyoweka maslahi yao mbele kwa kudai serikali tatu kwanza badala ya kurekebisha mambo yanayomgusa mwananchi moja kwa moja.

Serikali tatu ni kumuongezea mwananchi gharama ya kuziendesha. Kwahiyo CHADEMA wanataka mabadiliko kwa manufaa ya viongozi sio wananchi wote. Nawasihi wananchi wote tutafute namna nyingine ya kubadili katiba yetu bila kutumjka na hili genge lenye maslahi binafsi.
Nchi hii kuna watu mnakunya akili.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom