Tuwapongeze wakazi wa songea

Jackbauer

JF-Expert Member
Oct 28, 2010
6,039
2,199
baada ya kufanya maandamano ya kushinikiza upatikanaji wa umeme hatimaye mafundi wa Tanesko wameweka kambi mjini humo ili kuhakikisha umeme unapatikana.
Hali ya umeme imeanza kuwa nzuri na hii inaashiria wananchi wakiamua hakuna linaloshindikana.
BRAVO WANASONGEA!
 
na siku nyingine wajifunze kuwa na maamuzi magumu.......hivi ni nani mbunge wao.....?
 
hawana mbunge baada ya Nchimbi kuchakachua na Nec kumtangaza. Binafsi nawapongeza sana maana waliamua kuwa wabunge na kuwasilisha matatizo yao wenyewe maana mbunge waliyemchagua hakuwa kipenzi cha nec na Nchimbi yupo bize na jamaa wa clouds! Big up wanasongea!!!
 
jenista mhagama amebanwa na shughuli za uwenyekiti wa bunge!wanalizombe wameonyesha mfano wa kuigwa,umeme hakuna tunaingia street mpaka kieleweke!!
 
hawana mbunge baada ya Nchimbi kuchakachua na Nec kumtangaza. Binafsi nawapongeza sana maana waliamua kuwa wabunge na kuwasilisha matatizo yao wenyewe maana mbunge waliyemchagua hakuwa kipenzi cha nec na Nchimbi yupo bize na jamaa wa clouds! Big up wanasongea!!!
Unayoyasema ni kweli....mimi ni mwenyeji wa Songea,ni kweli mgombea wetu kupitia CDM walimchakachua live.
Lakini 2015 nitarudi tena home,nitapiga kura,na kuzilinda.
 
hata ukarabati wa baraza umetokana na shinikizo.

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA
 
Songea not the same nchimbi hawezi kuwa na uchungu na watu wa songea ni zao la wanamtandao (kikwete 2005)alirudi songea kupata ubunge na sio m kazi wa songea bali ni mbeya tunakutana 2015 kama atapata muda kuchakachua kwa watu ambao hawamtaki,ntarudi kuamsha kampeni!!!!!!!!!!!!! Na kupiga kura!!!
 
hawa jamaa wanabahati mbaya si hata yule muimba kwaya alipewa ubunge huko kwa sababu kaimba sana nambari one!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom