Tuwapende na kuwajali wazazi wetu pindi wanapokua hai

sandraeli

JF-Expert Member
Mar 4, 2013
1,431
2,389
Tuwapende na kuwajali wazazi wetu pindi wanapokua hai
IMG-20190903-WA0006.jpeg
 
Kuna usemi unasema utavuna ulichopanda, kama ulipanda ubusy kwa wanao, utavuna ubusy.

Kama ulipanda upendo utavuna upendo.

Kama ulipanda ukorofi utavuna ukorofi

Hakuna kuokota dodo kwenye mkaratusi yaani huwezi kutunzwa, kupendwa, kutembelewa kama hukupanda hivyo kwa wanao.

Angalizo: tenda wema nenda zako usingoje malipo na haina formula kuna wazazi wanafanya yote hayo na bado hawavuni walichopanda. Na kuna watoto wanapanda mema kwa wazazi wao na bado wao hawaji kuvuna walichopanda pamoja na kuwa wazazi wao hawakupanda mema kwao.

Kila mmoja kwa nafasi yake atende wajibu wake bila kutegemea mrejesho wa alichofanya = tenda wema nenda zako.

#Sambaza Upendo Make the World a Better Place to live.
 
Fact
 
Wazazi tusijisahau, namna tunavyowalea watoto wetu ndio itapelekea watukumbuke au la.
 
Mie ndio maana siku zote naogopa sana kama MSHUA au MAZA mmoja wapo akivuta, napenda sana kuwaona wale viumbe wawili pamoja.

Muumba naomba uendelee kunitunzia VIUMBE wale wawili
 
Back
Top Bottom