Tuwape uraisi kundi hili

Nduka Original

JF-Expert Member
Aug 3, 2011
790
500
Mimi naamini kabisa kundi la bwana Lowassa tukiwapa TAIFA hili kuliongoza basi tunaweza tukapiga kabisa maendeleo. Kundi ninalolitaja ni hili lafuatalo.

1. Edward Lowassa
2. Rostam Aziz
3. Nazir Karamag
4. Andrew Chenge
5. Nimrod Mkono

Mimi kwa mawazo yangu tupate viongozi ambao hawatafanya mambo yafuatayo na hao lazima wawe ni viongozi wenye uwezo.

1. Hawatakula hela za miradi ya kupambana na malaria, ukimwi, matende
2. Hawatakula hela za miradi ya kilimo, mbolea, majosho, elimu
3. Hawatachukua allowance za kusafiri halafu wasisafiri
4. Hawatakula hela za miradi ya jamii.

Kundi hili lenye uwezo halitakula hela za maendeleo ya jamaii bali wao wata focus mtwara kwenye mafuta na gas ambapo hata wasipochukuwa hivyo vitalu wazungu watachukua tu. Hivyo tuwape nchi watu wenye uwezo.
 

amakyasya

JF-Expert Member
Jun 26, 2013
3,463
0
Hii ingekaa jukwaa la JOKES ingekuwa poa sana maana ni utani wa hali ya juu sana kwa hiyo list ya mafisadi kuwakabidhi nchi.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom