Tuwaonee huruma watu kama Diamond Platnumz, sio rahisi kuchagua mpenzi mmoja

Ncha Kali

JF-Expert Member
Sep 19, 2019
14,476
26,956
Sijui hata nimewaza nini!

Katika pita pita zangu leo, nikanyapia ukurasa wa Cristiano Ronaldo. La haula! Nikakutana na nilichokiona, mateso ya wivu yakaujaa moyo wangu.

Watu wanakula maisha dadadeeki!

Nikawaza kikwetu kwetu nikamwona Platnumz, the kiss to the ladies! Bebez kama zote zinataka kuliwa pale, tena zinajitokeza hadharani kulialia na zingine kutwa kucha kwa waganga.

Mi mwenyewe tu nikipata posho kidogo huwa najiona sio wa demu mmoja, sasa Dangote inakuwaje!

Sio kama wanapenda, ni vigumu kuufunga moyo kwa mtu mmoja eti “I’m all for you!” hell not.

Nikizipata!
 
Back
Top Bottom