Tuwaombee wenzetu Japan- hebu cheki yalowakuta kwa tetemeko la ardhi

mxyo16

JF-Expert Member
Mar 29, 2011
1,243
758
Ni majanga
333B17E900000578-3542347-image-a-58_1460804729708.jpg


333B184C00000578-3542347-image-a-61_1460805035321.jpg


333C4D5D00000578-3542347-image-a-68_1460810030447.jpg


333C4EAE00000578-3542347-image-a-76_1460810149777.jpg


333CB27000000578-3542347-image-a-69_1460820973480.jpg


333C71AA00000578-3542347-image-a-65_1460811905930.jpg


333A5F7A00000578-3542347-image-a-14_1460795201776.jpg


333A929500000578-3542347-image-a-18_1460795540062.jpg


333AC82300000578-3542347-image-a-22_1460795618993.jpg


3339B63E00000578-3542347-image-a-23_1460795677098.jpg


3332933000000578-3541249-Devastattion_Pictures_show_some_of_the_many_collapsed_houses_in_-a-29_1460705642083.jpg


3x3xJf8qEp7439795a5865916b8c-3541249-Powerful_earthquakes_hit_Japan_John_SAEKI_Adrian_LEUNG_Alain_BOM-a-37_1460705642142.jpg
 
mie ninawazia kwamba pamojana maendeleo yao, kiteknolojia, na uwezo wa ku predict hali ya hewa na mienendo ya mazingira ya dunia....inaonekana kama siku iliyopangwa ikifika ni imefika.....Mambo mengine ni mipango ya mungu.
Na uharibifu huo wananchi wamekosa maji umeme na pia kwingine miundo mbinu imekwamisha waokoaji kufika na kutoa msaada.
 
Kila sehemu na balaa lake...yani hayo yangekuwa yanatokea huku kwetu na hali yetu hii ya nchi sijui ingekuwaje.... Wao huko watarecover faster kwa kutumia ujuzi uchapa kazi technology...vifaa wanavyo
 
Ajabu ni kwamba hawa jamaa huwachukua muda mfupi kurudi walipokuwa.

Hapa ndiyo utaona umuhimu wa kupewa akili kuliko maliasili
Wakati mwingine nnawish hata tungekuwa na uwezo tukawapa hata mkoa mmoja hapa TZ wauendeshe na viongozi wa mikoa mingine waende wakajifunze huko kiurahisi
 
Hawa kweli wanastahili maombi tatizo ni kutaja hilo jina lilipotokea tetemeko , unaweza jikuta umesimamisha kati kati ya maombi
Hahahaha...nnadhani ndo maana mdau kaondoa lawama kwa kuweka ramani ya eneo husika huko juu ili tujisomee wenyewe.
 
Nchi yao ipo kwenye mazingira ya kupata matetemeko ya mara kwa mara ni kwanini ipo hivo ???
 
Back
Top Bottom