Labda asimame kuhani mkuu kwa sisi ni ngumu.hatuwezi kuwaazima maombi kama wana mioyo migumu!
Mwenzako akinyolewa...?Covid19 cases zinakaribia laki 2 now!View attachment 1498519
Ndo wamekufa ndan ya miezi minne ...kaangalie takwim za magonjwa mengine kama kiharusi,ukimwi,cancer,kisukari,bp .....people die everyday tusichoshaneWaliokufa wanakaribia 3000. Maiti elfu tatu ukizipanga chini zinaanzia Ubungo mataa hadi Mbezi mwisho. Hao ni watu wachache?
Kwahiyo kwa mawazo yako mgando hayo Tanzania hakuna Corona?Washaambiwa sana waache
1. Kupima
2. Kutoa takwimu.
Wabishi sana. Corona ukiichunia inaondoka yenyewe.
Kwani kuna Padre anayevuta bange??Leo padri kauliza nan familia yake imeguswa na janga la corona hakuna