TUWALEE vizuri Beki 3 NA KUWAJALI | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

TUWALEE vizuri Beki 3 NA KUWAJALI

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Pdidy, Sep 10, 2009.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Sep 10, 2009
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,092
  Likes Received: 5,560
  Trophy Points: 280
  Watanzania wengi tumekuwa na mazoea ya kuwadharau watoto wetu
  wa kazi....na wengine hasa pale linapokuja swala la kuwaitaji kimapenzi
  atuaitaji kuishi kama wanyama hawa ni watoto wetu na wanaitaji upendo kama wa wengine.......
  Wamama tumekuwa na matatizo ya kibinadamu sana na hawa ndugu zetu ....ushauri ukiona ama kuhisi mumeo anatembea nao jaribu kuonyesha mapenzi zaidi kwa mumeo na si chuki kwa dada wa nyumbani...

  Nanyi madada/makaka wa nyumbani ,tujitahidi kuheshimu ndoa ama uhusiano wa watu mliowakuta...si tu kwasababu una......na bosi wako unaanza kumdharau mkewe...koma tena komeni jitahidi kutafuta wanaume mpate ndoa zenu...na wewe kijana wa nyumbani kama mama anakufanya "KINGAST"UNASHINDWA KUMUHESHMU MZEE.....WACHA BORA UAME....WANAUME SIKUHIZI WANACHINJA BEST.....

  Nawatakia mahusiano mema
   
Loading...