Tuwakumbuke wanachama wa JamiiForums waliotutoka

R.i.p wale waliyofariki .na wale waliyopumzisha I'd zao wanatumia I'd mpya tukiandika R.I.P msitushangae jameni kama uko hai Iyo R.I.P haikuhusu inamhusu id maana iko inactive sawa na kudedi.
 
Idadi Ni kubwa... Wachache hutajwa
1. sanguti 2009 RIP
2. regia RIP
3. Msamiati RIP
4. Dotto Mnzava RIP
5. IBRA 87 RIP
6. Kanjunju RIP _ kulikuwa na hisia za kuwepo mauti na aliandika humu
7. Njee RIP
8. legeju Bob RIP
9. Dena Amsi RIP
10. Kenedy lufulondama RIP
Nimemsahau yule alieambiwa na daktari hawezi kupona! Sijawapata wale watatu walio fululiza ku comment katika thread moja enzi za uhai wao.
Mambo ndo haya na muda ni
mchache picha no 2 Ni mkaoi wa Jf Tech maarufu kama Msamiati na ya mwisho Ni Kennedy lufulondama View attachment 1184884View attachment 1184885View attachment 1184886

Aliyeongezeka hivi karibuni
Nelson Olotu
Easymutant
Tunapata wasiwasi kuhusu msiba wa Easymutant. Je alifariki mwezi wa nane au mwezi huu wa kumi?
 
Idadi Ni kubwa... Wachache hutajwa
1. sanguti 2009 RIP
2. regia RIP
3. Msamiati RIP
4. Dotto Mnzava RIP
5. IBRA 87 RIP
6. Kanjunju RIP _ kulikuwa na hisia za kuwepo mauti na aliandika humu
7. Njee RIP
8. legeju Bob RIP
9. Dena Amsi RIP
10. Kenedy lufulondama RIP
Nimemsahau yule alieambiwa na daktari hawezi kupona! Sijawapata wale watatu walio fululiza ku comment katika thread moja enzi za uhai wao.
Mambo ndo haya na muda ni
mchache picha no 2 Ni mkaoi wa Jf Tech maarufu kama Msamiati na ya mwisho Ni Kennedy lufulondama View attachment 1184884View attachment 1184885View attachment 1184886

Aliyeongezeka hivi karibuni
Nelson Olotu
Easymutant
Shy alijiua kwa wivu wa mapenzi,mke wake alikuwa anachepuka na bosi wake huko walikohamia Mbeya,funzo mwanaume kumtegemea mkeo ni kukaribisha ugonjwa wa moyo.
 
Back
Top Bottom