Tuwakumbuke waliotamba

Ronaldinho Gaucho
tapatalk_1516258319832.jpeg
 
Mm pia ni fan wake sana, nyimbo za latin america kwa sasa ndo zimeshika soko sana. Hata views youtube wanaongoza wao. Yani hawa majamaa kugonga views Billion na kuendelea ni kitu cha kawaida sana.

Nadhan aliyewafunguliaga milango ni Enrique Iglesias na ngoma yake ya Bailando.
Mimi nimemfahamu 2014
Nafkiri mimi ndio shabiki wake na fan wa raggaeton mkubwa africa nzima.
 
Mm pia ni fan wake sana, nyimbo za latin america kwa sasa ndo zimeshika soko sana. Hata views youtube wanaongoza wao. Yani hawa majamaa kugonga views Billion na kuendelea ni kitu cha kawaida sana.

Nadhan aliyewafunguliaga milango ni Enrique Iglesias na ngoma yake ya Bailando.
Haswa lakini tuwe wakweli mziki kama mziki yaan mziki pure mziki halisi hawa Latins ndio wanao kuanzia Composing, Lyrics (Song Writing), Melody, Producing nk
Kinacho nifurahisha hadi muda huu nalia maisha waliyotoka lakini wnasaidia wanabebana. Producers kwa producers, musicians kwa musicians na producers kwa musicians ndio maana wanatoa vitu bora.
 
Back
Top Bottom