Escaper
JF-Expert Member
- Nov 11, 2018
- 1,780
- 3,232
Sio Max wa Zembela , ni Max na Zembwela mkuu.. yani huyu zembwela wa uswazi( EATV) alikua na mwenzie ambaye ndiye huyo pichani, na huenda baada ya kifo cha Max zembwela alilostishwa sana kufanya komedi .. kipindi hiko Joti na mpoki huku Max na Zembela hatari sana.Max wa zembwelaView attachment 1015649
Hapana jamani huyu hawezi kuwa shoziniga jamani
Ooh jamani maisha hubadilika hivi
Huyu ndiye msanii wa kiume pekee kwangu kuwahi kutokea.
Huyu ni legend aisee hatariiiiiKafanyaje huyu mzee wa equis?
Aiseee shida ananiona dogo dah Mungu anaumba sio siri.
Huyu ni legend aisee hatariiiii
Nmemjulia kwenye hii ngoma. Nadhan sabab ya kutofahamika san ni kwa kuwa haimbi kwa kiingereza.
Mimi nimemfahamu 2014
Nafkiri mimi ndio shabiki wake na fan wa raggaeton mkubwa africa nzima.
Haswa lakini tuwe wakweli mziki kama mziki yaan mziki pure mziki halisi hawa Latins ndio wanao kuanzia Composing, Lyrics (Song Writing), Melody, Producing nk
Mm pia ni fan wake sana, nyimbo za latin america kwa sasa ndo zimeshika soko sana. Hata views youtube wanaongoza wao. Yani hawa majamaa kugonga views Billion na kuendelea ni kitu cha kawaida sana.
Nadhan aliyewafunguliaga milango ni Enrique Iglesias na ngoma yake ya Bailando.