Kiongozi.Nikusumbue HARUFU naomba unishushie Sylvinho, Van Bronchost, Sebastian Larson, Daddy Yankee, Arcangel "La Maravila", Wisin y Yandel.
Hahaha 😁😁 ndio kiongozi, natumai na wewe unafuatilia mpira ndio maana umechezwa na machale.Kiongozi.
Nimeshakustukia wewe ni Shabiki wa ARSENAL
Nomaaa sana
Sio Puerto Rico tu Latin America yotee nimewahi kuishi na baadhi yao.Kiongozi.
Unawazimika sana waPUERTO RICO
Kiongozi.Sio Puerto Rico tu Latin America yotee nimewahi kuishi na baadhi yao.
Dah lakini nimekukubali kiongozi na hapa umedaka duh! Shusha wote J Balvin, Bad Bunny, Thalia, Mozart La Para, Shakira kama unaweza.
😔😔 Hapa alikuwa anakaribia mwisho wake katika dunia. Dah! Depression Ni kitu kibaya 😢