Tuwakumbuke waliotamba

BAEonimCIAAGLJn.jpg
Bernard Matheri Thuo A.K.A. Rasta. Jambazi sugu lililotetemesha wananchi, viongozi, vitengo vya usalama hadi na majambazi wenzake jijini Nairobi miaka ya tisini.
 
Mwisho wake ulikuaje?
Baada ya uhuni wake wote wa kuvamia mabenki kuwaua polisi na askari jela na kutoroka kutoka korokoroni mara kama tano. Mwisho wake ulifika baada ya swahiba zake, majambazi sugu wenzake, Wanugu na Wacucu kuuliwa na yeye kuviziwa akiwa kijijini kwao. Katika mapambano ya mwisho ya kufiatuliana risasi na polisi alitumia mpenziwe, ambaye pia alikuwa jambazi sugu, kujikinga ila walivokuwa wanamuogopa polisi waliwamiminia wote risasi za kufa mtu. Google usome kuhusu maisha ya huyu jamaa jombaa, yaani ilikuwa ni kama drama ni kama video. Huyu mhuni alikuwa anawaandikia barua polisi akiwafahamisha kwamba atakuja siku flani hadi afande walikuwa wanajiuzulu na kuingia mafichoni.
 
wakuu na hapa bongo basiii haa,,
mwenye picha za mtoto wa dandu,,chif lamson,dilob,
kwanza unit crew
 
6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom