pingli-nywee
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 11,923
- 13,344
Mwisho wake ulikuaje?Bernard Matheri Thuo A.K.A. Rasta. Jambazi sugu lililotetemesha wananchi, viongozi, vitengo vya usalama hadi na majambazi wenzake jijini Nairobi miaka ya tisini.
Baada ya uhuni wake wote wa kuvamia mabenki kuwaua polisi na askari jela na kutoroka kutoka korokoroni mara kama tano. Mwisho wake ulifika baada ya swahiba zake, majambazi sugu wenzake, Wanugu na Wacucu kuuliwa na yeye kuviziwa akiwa kijijini kwao. Katika mapambano ya mwisho ya kufiatuliana risasi na polisi alitumia mpenziwe, ambaye pia alikuwa jambazi sugu, kujikinga ila walivokuwa wanamuogopa polisi waliwamiminia wote risasi za kufa mtu. Google usome kuhusu maisha ya huyu jamaa jombaa, yaani ilikuwa ni kama drama ni kama video. Huyu mhuni alikuwa anawaandikia barua polisi akiwafahamisha kwamba atakuja siku flani hadi afande walikuwa wanajiuzulu na kuingia mafichoni.Mwisho wake ulikuaje?
Fundi mkuu Chaplin
HUYU AMEFARIKI LINI? SIJASIKIA KILIO CHAKEMax wa zembwelaView attachment 1015649
THOMAS SANKALA.Rais wa zaman wa Bukina faso alieuawa akiwa madarakani Anaitwa nani?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio yupi hapo
Huyo wa KIUME, kichwa wazi ambae hajavaa KILEMBANdio yupi hapo