Tuwakumbuke waliotamba

MC HAMMER.


1549656311762.png
 
Yap! huyu rais nilisoma habari yake dah! mara chache sana viongoz wa type yake kupatikana duniani. but vizuti huwa havidumu R.I.P

Sent using Jamii Forums mobile app
Yaap mkuu moja ya marais nao wapenda sana.. rafiki yake wa kufa kuzikana alimgeuka.. imagine alikua ashajua kua rafiki yake ana mpango wa kumpindua ila akasema unaweza kumuua Blaise Campaole (?) Ila huwez kuua spirit ya Mapinduzi. And kwel rafikiye Campaole akamuua

Sent from my GT-I9300 using Tapatalk
 
6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom