Tuwakumbuke waliotamba

Kuna tofauti sana kati ya watu waliotamba na waliovuma...
1. Bob
2. Bruce Lee
3. Michael Jackson
4. Pele/maradona
5. Michael Jordan
Hawa walitamba na mpaka sasa record zao bado zinaendelea kuwa juu.

Kina Dinho, Pac na BIG, na wengine wa aina hiyo hawa walivuma kwa muda, hawajawahi kutamba.

Kuna kundi la wanasiasa na wanaharakati.
Nyerere, Mzee Mandela, Nkuruma na kina Ghadafi nk hawa ni maarufu. Hawakuvuma wala hawakutamba.

Wanaharakati kina che, Castro, Arrafat, hawa nao wanaingia kwenye kundi la watu naarufu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
lee van cliff
1549400159321.png
 
Hilo kundi la kwanza ulilotaja Bruce lee na wenzake walivuma, walitamba na ni watu maarufu
 
Back
Top Bottom