Hapo sasa nimekupata vizuri sana.
Maana jana nilitaka kumuweka MICHAEL JORDAN, ila nikasema, ngoja kwanza niwekwe sawa na mwenye BANDIKO kisha ndio niendelee na mapambano.
Basi kama ni hivyo huu UZI unanihusu sana.
Pamoja sana Kiongozi
Ok mkuu lengo langu lilikua ni kuwaweka watu waliovuma sana zamani haijalishi kama wako hai ama wamekufa.Hapo sasa nimekupata vizuri sana.
Maana jana nilitaka kumuweka MICHAEL JORDAN, ila nikasema, ngoja kwanza niwekwe sawa na mwenye BANDIKO kisha ndio niendelee na mapambano.
Basi kama ni hivyo huu UZI unanihusu sana.
Pamoja sana Kiongozi
Bi kidude
Kuuliza tu,which country was she from?coz mi humskia tu,n her song malaika was in swahili
South AfricaKuuliza tu,which country was she from?coz mi humskia tu,n her song malaika was in swahili
Sent using Jamii Forums mobile app