lee Vladimir cleef
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 9,139
- 33,220
Unaweza kuongezea wengine,waliotingisha.
Ruksa kuongezea wengine mkuu.Wapo wengi umeweka wachache sana,
Ok alitamba enzi hizo sasa kazeeka ,wapo madogo kama akina Shaimer.maudhui ni kuwa sasa wako nje ya ulingo ama wako hai ama wamekufa.
Hapo sasa nimekupata vizuri sana.Ok alitamba enzi hizo sasa kazeeka ,wapo madogo kama akina Shaimer.maudhui ni kuwa sasa wako nje ya ulingo ama wako hai ama wamekufa.