Tuwakumbuke viongozi wetu na wanasiasa waliotangulia mbele ya haki

GedsellianTz

JF-Expert Member
Jul 5, 2016
1,335
1,778
Leo nimekaa nikawa nakumbuka jitihada za mama yetu mpendwa Amina Chifupa kabla ya kutotoka.......
Wengine niliowakumbuka ni

J.K. Nyerere
N. Mandela.
Deo Filikunjombe
Komba
Samweli Sitta
Sokoine

Wewe unamkumbuka nani na alifanya nini?

Sometimes i wish R.I.P could stand for Return If Possible
Roho zao zilazwe mahari pema.
 
john pombe magufuli mungu akupe zaidi na akulipe kila utakalo mfanyia mtanzania kwa stahiki yake kama ulivyolitenda

bk one nshomile akina lutashobya mpooo muombeni mungu atupiganie
 
Daaah R.I.P Prof. Chachage, Prof. Haroub Othman na Dr. Mvungi Familia na Wasomi wote wa THE HILL wanawakumbuka sana.
 
Back
Top Bottom