Mtazamaji
JF-Expert Member
- Feb 29, 2008
- 5,937
- 1,437
Juzi juzi nimeona tumekuwa informed nafasi ya january makamba imezibwa. Binafsi sioni kazi ya January makamba kama ilikuwa nyeti au muhimu sana kulingansiha na watu wengine ambao hata media hatusikii zikiwataja.
Je tunaweza kuwajua kwa majina washauri wa rais ikulu kwa majina kwenye masuala haya.
Nawasilisha kwa maoni/mjadala
Je tunaweza kuwajua kwa majina washauri wa rais ikulu kwa majina kwenye masuala haya.
- Fedha,Uchumi, Biashara na uwezeshaji
- Kilimo ,Mifugo
- Nishati na Madini
- Sheria
- Siasa
- Ulinzi na Usalama
- Siasa
- etc
Nawasilisha kwa maoni/mjadala