Nimetafakari sana, Wenzetu Kenya walishaacha kutangaza shule hii imekuwa ya kwanza shule hii imekuwa ya mwisho. Nafikiri hizi takwimu zibaki kwa ajili ya wizara tu ili kuweza kurahisisha ufuatiliaji. Hii itaondoa hata baadhi ya mashule kuongeza ada na watoto watasoma bila presha