Wapi duniani wasomi wote wameajiriwa fikiri njeEndelea kumezeshwa ujinga kwenye vikao vya uvccm
Hivi unakubali serikali yetu iendelee kuukwepa wajibu wake kwa kutokutoa ajira au kutengeneza ajira?
Waache kuwasomesha ili waanze kujiajiri mapema.

Mkuu naomba nafasi y kujitoleaThat is real situation
Hili ni tatizo kubwa sana kwa vijana wa sasa, Vijana ukiwapa kazi hata ndani ya Chama hawataki neno kutembelea vijijini ila ukisema kuna Safari ya China kila wakati utasikia Boss Pole na kazi
Sio Self Praise huu ndio uhalisia
Kama una vijana wamemaliza chuo au ndugu zako nita ku PM uniletee waje wajitolee kwa miezi mitatu tu, Wengi tumewajaribu lakini wavivu sana sana, Pesa wanataka kujifunza hawataki
Dunia ya sasa haina huruma ni lazima mtu aumize kichwa ili mkono uende kinywani. Vijana huku Arusha wanatengeneza pesa nyingi kwa masuala ya utalii. Unakuta mtu anaanza kama guide anayewapeleka wazungu mbungani na taratibu anaanzisha kampuni yake ya utalii na anatoka mazima.Utamwoneaje huruma kijana asiyejitambua?.
Vijana wengi ni mandezi waache waumie.
Hata kuandika barua ya maombi ya kazi hawajui, CV wanaandikiwa stationary, na yule wa stationary anazijaza tu walizoweka watu.
Aibu sana