Tuwafanyeje hawa watoto? Tuendeleze vipaji vyao au tuwafungulie kesi?

Avatar

JF-Expert Member
Mar 7, 2012
11,127
11,908
Tuwe makini na vijana wetu kwenye hayo magazeti yenye picha za watukufu yanayozubaa zubaa sebuleni hapo..
Screenshot_2019-03-23-08-09-24.jpeg


Sent using Unknown device
 
Mi ndiyo kama Nkurunziza Nawanunulia ice cream alaf nawapa buku buku.
 
hahaha hiyo ilikuwa tabia yangu enzi hizo, kwenye majalada ya magazeti,,tena nilikuwa nawaongezea mpaka ma------------------
teacher mmoja akakuta daftari lina picha hizo,,kilichofuata akaniambie nikachore ubaoni nilichochora,kilichofuata........
wasemehewe tu,,
 
Back
Top Bottom