Saint Anno II
JF-Expert Member
- Sep 12, 2021
- 4,180
- 14,556
Hahah hakuna petdeshee za hivyo mkuu kipindi hiko wenye petdeshee yao mkiwa live band akitajwa jina kule mbele toka anatoka alikokaa mpaka anafika stejin katikati hapo anaowajua wote washalamba ten ten wewe kazi yako mtaje jina tu anajua huyu mwana unakoga hela.pedeshee kifaranga toto ya kuku, pedeshee diamond totoo ya bisandra pedeshee konde baby ya kajala, haya ongezeeni....
Jamaa walikuwa na maisha flani classic sana amtake demu wako amkatae?umempa nini wewe huyo mwanamke?