Mwalimu wa tuisheni
JF-Expert Member
- Oct 19, 2019
- 8,066
- 14,037
Thabitiiii mtoto wa ilalaTHABITI MTOTO ILALA
Achimenengule kiboko yao...🤠🤠ðŸ¤
Thabitiiii mtoto wa ilalaTHABITI MTOTO ILALA
Banza alimtaja sanaaThabitiiii mtoto wa ilala
Achimenengule kiboko yao...🤠🤠ðŸ¤
Wakongo ili kukurusha jina lako tu inabd umpe si chini ya $2000 😄balaa la fally ipupa
😀😀😀😀Ndo maana likipigwa sebene hata nikki wa pili atajitingisha tu!
Producer huyo hana jipyaKuna kina Said Komolie sijui alikuwa nani huyu
Chilamwina keshaimbwa katika wimbo wa Mayday wa Fally IpupaAdolp Muteba Chilamwina,
Yusuf Kitumbo -Mumiliki wa Mbasi ya Kitumbo Express, Diwani wa kata ya Cheyo na mimiliki wa Kitayosce / Tabora FC
Kidogo chetu kikubwa cha med balabuu .....kassim mgangaBala Buu
Siasa ilimfanya akimbie biashara. Yard yake ya Magari (T.O.T) akamuachia shemeji yake Bakhresa saizi ndio Azam TV. Petrol station ilibaki moja pale moro townKidogo chetu kikubwa cha med balabuu .....kassim mganga
Nadhan tajir wa mafuta kutoka mji kasoro bahari
Dollar 2000??? wapiii?? bia kadhaa tu wanakurusha hao. Niliwahi kuja bongo kitambo enzi ya Ngwasuma pale Makumbusho, niliwanywesha bia kadhaa walinirusha sana kwa wiki zangu 2 nilizokua hapo Daslama. Dollar 2000 nyingi sana labda wanawapata waturutumbi wa mikoani sio born city.Wakongo ili kukurusha jina lako tu inabd umpe si chini ya $2000 😄
Kuna mambo ikiyafikiria yanachekesha kwl
Ova
M.B ushamba tu na alikuwa anawapakazia tu familiaSiasa ilimfanya akimbie biashara. Yard yake ya Magari (T.O.T) akamuachia shemeji yake Bakhresa saizi ndio Azam TV. Petrol station ilibaki moja pale moro town
Nawazungumziwa wakina fally pupa na koffie olomideDollar 2000??? wapiii?? bia kadhaa tu wanakurusha hao. Niliwahi kuja bongo kitambo enzi ya Ngwasuma pale Makumbusho, niliwanywesha bia kadhaa walinirusha sana kwa wiki zangu 2 nilizokua hapo Daslama. Dollar 2000 nyingi sana labda wanawapata waturutumbi wa mikoani sio born city.
Alikuwa mtu wa bata sana enzi zileM.B ushamba tu na alikuwa anawapakazia tu familia
Kuwachoresha...
Ova