Tuwaepuke wanasiasa wanataka kutuletea ukabila kupitia uChifu

Kwanza uelewe kwamba CHEIF ni neno la kizungu.

Pili MACHIFU ni viongozi wa kiafrika waliowekwa na wazungu kwa ajili ya kazi za kikoloni.

Afrika haijawahi kuwa na CHEIF. Hii CHIEF ni invention ya mkoloni.

Hawa wa sasa hivi wanaoitwa MACHIFU ni wachawi wa samia.

Hakuna kitu kama CHEIF. Haya ni machawi tu yaliyotafuta chaka zuri la kujifichia.
Mkuu umepiga ikulu, hakuna kitu zaidi ya uchwawi........hapo wanajizatiti kuendelea kukalia nchi kishirikina, bila Mungu Mwenyezi kuingilia kati bongolala haitakuja kuendelea kamwe.
 
Ukiongelea uchifu unaongelea asili yetu..tamadunj..mila na miiko bila kusahau imani..wewe mlokole na mfia dini ambaye uliondolewa akili na utu wako kisa dini za wazungu na waarabu..ili wakutawale kuanzia akili na mali..unaona upuuzi kuenzi mila zako.

Bure kabisa..wewe.

#MaendeleoHayanaChama
Asili yenu inatawaza wanawake kuongoza kabila? Haipo Afrika hiyo. Wanawake kuongoza ni desturi za wazungu acha kujisahaulisha makusudi.

Unawatukana wazungu at the same time unakumbatia taratibu zao; jinga.
 
Kama wameweka tegemeo lao kwa uganga, uchawi, ulozi, mizimu, matunguli na mauchafu kama hayo.........usitegemee jambo la kinyume chake. Kukimbiza tu moto unaoitwa mwenge ni ibada kamili ya kishetani, itakuwa kwenda kuzindikwa mauchawi na hao wanaoitwa machifu...........
Taifa limekabidhiwa rasmi kuzimu.
 
Afrika imekuwa na utaratibu huu wa utawala tangu enzi na enzi. Hizi tawala zilizoletwa na wakoloni hapa Afrika zina miongo michache tu iliyopita. Tusizidharau hizi taratibu zetu za jadi, kwa sababu ya taratibu za kigeni.
Acha kumkufuru Mungu. Karne ipi unaisema ilikuwa na hawa machifu wa kitapeli? Watu waliohusika kuchora dili za kuuza wenzao kwenye utumwa ni wanyama. Tusijiingize kwenye propaganda za kijinga.
 
Kwanza uelewe kwamba CHEIF ni neno la kizungu.

Pili MACHIFU ni viongozi wa kiafrika waliowekwa na wazungu kwa ajili ya kazi za kikoloni.

Afrika haijawahi kuwa na CHEIF. Hii CHIEF ni invention ya mkoloni.

Hawa wa sasa hivi wanaoitwa MACHIFU ni wachawi wa samia.

Hakuna kitu kama CHEIF. Haya ni machawi tu yaliyotafuta chaka zuri la kujifichia.
Milango ya kuzimu imefunguliwa rasmi kutuletea majanga ya kila namna. TUKEMEE HUU UHUNI TUNAOLAZIMISHIWA BILA RIDHAA YETU.
 
Jamaa yangu huwa unajikuta bingwa wa matusi sana mimi nilishapita hiyo stage hakuna tusi jipya kwangu, kama kukutukana naweza kukutukana tusi jipya kwako ambalo litakuletea sonona ila let me ignore you for good reason.
Si unaona Sasa mlipoambiwa nendeni shule mkasome mkaona Mnaambiwa ujinga madhara yake ndio hayo Sasa.Tangu lini bootlicker ikawa Ni matusi?
 
Tanzania ya Mwl Nyerere ilijengwa katika misingi ya umoja na ndio sababu kubwa ya kufuta uchifu.

Leo taifa letu lina zaidi ya miaka 60 tangu tupate uhuru anatokea mwanasiasa mmoja anaenzi uchifu.

Mataifa kama Uganda na Nigeria ambayo yaliendelea na uchifu yalijikuta yakipata matatizo makubwa ya ukabila kwasababu yalishindwa kumaliza tawala za kichifu.

Mungu saidia taifa letu liepukane na hili tatizo la ukabila ambalo wanasiasa wanataka kulizalisha,kulipalilia na kulikuza.

Wasalamu Ngongo kwasasa Uru Kushumundu.
Naunga mkono
 
Afrika imekuwa na utaratibu huu wa utawala tangu enzi na enzi. Hizi tawala zilizoletwa na wakoloni hapa Afrika zina miongo michache tu iliyopita. Tusizidharau hizi taratibu zetu za jadi, kwa sababu ya taratibu za kigeni.
Kwani kwasbb ni utaratibu wa tangu enzi km unavyosema ndo unaondoa ukweli kuwa ni ,uchawi,ushirikina,mizimu?
Hii haiondoi ukweli huu,haijalishi uliwekwa na kufuatwa na nani!
Haufai kenye nchi,tunamhitaji Mungu muumba wa mbingu na nchi sio machifu
 
Zanzibar sio kwa mjaa laana huyo. Kibibi cha kiarabu kwao Oman huko kwa washenzi wenzie..
MaCCM na kauli mbio liwalo na liwe CCM lazima ikubalike na itawale Milele.
Kwani Zanzibar ni ya kwenu nyie machogo? Mlivukaje bahari mpaka kule? Au Waarabu ndiyo waliwaleta Zanzibar na majahazi yao?
 
Tanzania ya Mwl Nyerere ilijengwa katika misingi ya umoja na ndio sababu kubwa ya kufuta uchifu.

Leo taifa letu lina zaidi ya miaka 60 tangu tupate uhuru anatokea mwanasiasa mmoja anaenzi uchifu.

Mataifa kama Uganda na Nigeria ambayo yaliendelea na uchifu yalijikuta yakipata matatizo makubwa ya ukabila kwasababu yalishindwa kumaliza tawala za kichifu.

Mungu saidia taifa letu liepukane na hili tatizo la ukabila ambalo wanasiasa wanataka kulizalisha,kulipalilia na kulikuza.

Wasalamu Ngongo kwasasa Uru Kushumundu.
Mnasema ukweli leo kwamba nchi ni mali ya mchongameno kabla hajafa akawarithisha wanae wa CCM akina Mkapa. Ndiyo ukweli nchi siyo ya wananchi ni ya wachache.
 
Back
Top Bottom