Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,319
- 33,125
Viongozi wetu karibu wengi wao ni wasanii itakuwa Raia wa mitaani? Kazi kweli ipo bongo yetu........nchi ya waongeaji hii, matendo kiduchu....ona sisis tunachonga Kenya wanajenga reli
nchi ya waongeaji hii, matendo kiduchu....ona sisis tunachonga Kenya wanajenga reli
Vere point
Mabadiliko ya nchi yanaanzia ngazi ya Familia. Hebu tuanze kubadilika sisi kwanza. Maana mnasema raiya wote ni Wasanii, tupunguze basi usanii
Sent from my BlackBerry 9360 using JamiiForums
nchi ya waongeaji hii, matendo kiduchu....ona sisis tunachonga Kenya wanajenga reli
Mchoraji hajakosea, chadema na zitto ndio wamekosea.chadema na zitto hawajakosea mchoraji ndio amekosea
nchi ya waongeaji hii, matendo kiduchu....ona sisis tunachonga Kenya wanajenga reli