Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,319
- 33,125
Teh teh teh!siyo mbaya kufikiria vitu vya kufikirika!Sio mbaya....
Safi kufikiria vitu vya kufikirika!Safi hiyo
Teh teh teh!siyo mbaya kufikiria vitu vya kufikirika!
Nchi ambayo viongozi wake wanawaza kufanya ufisadi haiwezi kufika huko kamwe!We unashangaa nini mkuu, mbona marekani anaomba msaada China? India na maendeleo yake yote kiteknolojia, ndio amerusha roketi yake ya kwanza kama sikosei mwaka huu