Tuwachore Tu...........

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,298
33,083
10626440_610662699040448_419939456395429922_o.jpg
 
Teh teh teh!siyo mbaya kufikiria vitu vya kufikirika!

We unashangaa nini mkuu, mbona marekani anaomba msaada China? India na maendeleo yake yote kiteknolojia, ndio amerusha roketi yake ya kwanza kama sikosei mwaka huu
 
We unashangaa nini mkuu, mbona marekani anaomba msaada China? India na maendeleo yake yote kiteknolojia, ndio amerusha roketi yake ya kwanza kama sikosei mwaka huu
Nchi ambayo viongozi wake wanawaza kufanya ufisadi haiwezi kufika huko kamwe!
 
Duu cjui kpind hcho presida atakuwa nan ?nahsi kurasa nyng zitakuwa zimepambwa na scandal za rushwa tu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom