Elections 2010 Tuwachambe Nakaaya na Mtatiro

Ng'wanangwa

JF-Expert Member
Aug 28, 2010
10,827
4,172
Au wana JF, hasa Malaria Sugu, munaonaje?

Maana hawa vijana wamefulia kwa kukikana chama makini Chadema
 
Mkuu this is too low for JF. Hawa jama wana haki ya kuhamia chama chochote kile. Tujadili mambo ya msingi
 
Au wana JF, hasa Malaria Sugu, munaonaje?

Maana hawa vijana wamefulia kwa kukikana chama makini Chadema

Watu wengine akili zenu fuuuuuuuuuuuuuupi, sijui kwa nini? hivi wewe unadhani wana jf wote ni mashoga au waimba taarabu? give me a break! kwa mfano Mtatiro, huyu hajawahi kuwa chama kingine zaidi ya CUF, alikuwa mwanaharakati wa kawaida akiwa chuo, na aliteseka na kuteswa sana na ccm na serikali yake, na alipoamua kuingia siasani pamoa na vyama vyote vitatu kumvizia huku kila mtu akipropose donge nono, hakuwa mlafi, aliamua kuamua kwenda CUF and he has stayed faithful kwa CUF UP TO NOW. So, what is his mistake? kugombea ubunge na Mnyika?na nani kasema kwamba lazima uwe chadema ndo unakuwa mzalendo wa kweli? amefanya alichoweza, na amefanya makubwa kwa umri na uwezo wake, amefanya mengi ambayo hata wewe hapo ulipofika hujawahi kuota kufanya, so give credit where it is due, and leave him alone, kama vp propose kwa wasiokuwa na akili timamu kama wewe mlete majina ya wabunge wote ambao hawajashinda muwachambe....
 
sasa mbona wewe mwenyewe unaimba taarabu?

hili jamvi baba. ukishindwa una-log out.

hasira hom kwako
 
Au wana JF, hasa Malaria Sugu, munaonaje?

Maana hawa vijana wamefulia kwa kukikana chama makini Chadema

nak9.jpg
 
Watu wengine akili zenu fuuuuuuuuuuuuuupi, sijui kwa nini? hivi wewe unadhani wana jf wote ni mashoga au waimba taarabu? give me a break! kwa mfano Mtatiro, huyu hajawahi kuwa chama kingine zaidi ya CUF, alikuwa mwanaharakati wa kawaida akiwa chuo, na aliteseka na kuteswa sana na ccm na serikali yake, na alipoamua kuingia siasani pamoa na vyama vyote vitatu kumvizia huku kila mtu akipropose donge nono, hakuwa mlafi, aliamua kuamua kwenda CUF and he has stayed faithful kwa CUF UP TO NOW. So, what is his mistake? kugombea ubunge na Mnyika?na nani kasema kwamba lazima uwe chadema ndo unakuwa mzalendo wa kweli? amefanya alichoweza, na amefanya makubwa kwa umri na uwezo wake, amefanya mengi ambayo hata wewe hapo ulipofika hujawahi kuota kufanya, so give credit where it is due, and leave him alone, kama vp propose kwa wasiokuwa na akili timamu kama wewe mlete majina ya wabunge wote ambao hawajashinda muwachambe....

Brrrrrrrrrrrrrrrrr!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
habari ndo hiyo, if you cant take it in, go kill yourself.

Carmel hilo jina lako vipi? ndiyo inayokufanya uwe na hasira wakati unaweza kunywa maji mara moja kwa mwezi? Hapa hakuna nafasi ya kukasirika na kuporomosha matusi, ukisoma mtu kakosea inatakiwa uelezee watu wengine pamoja aliyekosea anaelewa.
Ukishindwaaaaa!!!! Potezeaaaaa!!!!
 
Kijana yeyote mwenye akili timamu hawezi kuhama CHADEMA na kujiunga na Chama Cha Mafisadi. Ila kama amekimbilia kutafunwa sawa maana "UKITAKA KULA LAZIMA ULIWE KIDOGO" Lakini sina maana hiyoooooooooo:nono:
 
Mi binafsi sioni wamekosea kutafuta ubunge kupitia ccm
watanzania waleo wanachagua mtu zaidi kuliko chama
pia inategemea support unayopata imebase kwa watu wa mrengo gani

wamejaribu wameshindwa basi....huenda 2015 wakaingia chadema maana siasa its a game
inategemea unachanga vipi karata zako!!!!!
 
Jamani ni lazima tuonyeshe kukomaa kisiasa na kifikra kwa ujumla na ukomavu huu ni lazima tuuonyeshe katika maandiko na kauli zetu. Ni lazima pia tuheshimu maamuzi ya watu wanaotupinga kwa kufanya vile maana kila mtu ana sababu zake za kuchagua alichochagua. Kazi iliyopo mbele yetu sasa hivi ni kuuonyesha umma kwa sababu gani chaguo la kwetu sisi ni bora zaidi ya chaguo la Nakaaya na wenzake. Na hii inafanyika kwa vitendo na sio maneno ya kejeli au kebehi
 
Nahisi utakuwa shoga,tukutane travertine magomeni pale week end,ntakuwa niko counter nina mzuzu mrefu sana ukiniona utanitambua tu ntakusolvia matatizo yako.
 
Back
Top Bottom