TUVUMILIE, tuna marekebisho muhimu tunafanya kwa maboresho. Give us approximately 90

Mabel

JF-Expert Member
Sep 1, 2010
1,273
677
"TUVUMILIE, tuna marekebisho muhimu tunafanya kwa maboresho. Give us approximately 90 minutes. Tuandikie: support@jamiiforums.com ... - Uongozi JF." hivi ndivyo JF web ilikuwa ikiniambia mda mfupi uliopita

Malaria Sugu alikuwa anatafuta ofisi za JF, leo amezipata nini maana hii message imenipa kiwewe mara nikafikiri labda JF imepigwa burn by Gov.

Nina Kampuni ya ulinzi JF tuwasiliane ili tusaidiane kuzuia hujuma, ila hatutumii silaha, maana kwenye mafanikia na hujuma pia zinaweza fanikiwa.
 
Alafu icho kibadniko kiwe kinaspecify kuwa mko down from what time to what time jamani
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom