Tuunganishe dot, kukamatwa kwa Nsebo na kusambaa kwa video ya gwajima

Ndege John hujaeleweka vizuri. Kukamatwa kwa Nsembo ilikuwa ni kuzima vuguvugu la kusambaa kwa sexvideo ya Gwajiboy.

Vyombo vya usalama huwa vinafanya surveillance muda mrefu na hutafuta chance ya haraka pale wanapomtia mtuhumiwa nguvuni. Nsembo lazima soo yake ilianzia kwa kina Chonji nadhani wakamuweka under strict surveillance bila yeye kufahamu. Na mara nyingine wanatumika askari wasiokuwa maaalum ili kutoharibu upelelezi maana hawa Cartel wa unga wana golden grease anaweza kupewa taarifa mapema.

Nsembo hakuwa na akili crew yake yote wakina chonji walikamatwa yeye bado akawa anazungusha mpira mtaani angeacha ile biashara. Naona wale maswahibas wa mkewe ikiwemo Le mutuz, mboni na wengineo siwaoni hata kumposti kumpa pole , mama wa vibubu. Waliwassilisha maombi kwa Dpp kukiri makosa na sijasikia walikuwa tayari kulipa faini watoke. Yawezekana wako nje ila watakuwa wanshinda ndani.

Inshaalah mwenyezi mungu mwaka huu atawatembelea maana ni mwaka wa uchaguzi tunawaombea msamaha kwa mzee baba wote watoke akina shose,kitilya, cici,Maimu,gonzaga, izack kassanga, dr Tenga etal.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom