isack raphael
Senior Member
- Oct 26, 2013
- 139
- 30
Habari JF,
Kulingana na hali ya uchumi kutokua njema kwa upande wangu, imenipelekea kuyumba kwenye mambo yangu mengi na kushindwa kufikia malengo.
Mambo ambayo nimeyashindwa ni
1. Ufugaji
2. Huduma ya usafi
3. Kutengeneza, kurekebisha na kuuza Fenicha (sofa)
Hivi vitu hapo juu Niko na uzoefu navyo sana ila nimeshindwa kuendelea kwa kukosa Pesa ya kuendesha.
OMBI: Kwa yeyote ambaye yuko teyari, anamtaji na anauhitaji wa kufanya Moja ya hizo shughuli ama shughuli nyingine Basi tuwasiliane Tuungane, Mimi nitachangia Ujuzi na muda wangu tukamilishe Project.
Nipo Dar es Salaam, aliye tayari tuwasiliane Tuzungumze
Nawasilisha
Ahsante