Uchaguzi 2020 Tuungane kwa umoja wetu kama Taifa tuikatae CCM, miaka 59 imetosha

Mungu anampenda Lissu, ana sababu kwanini alimuokoa na mauti, taratibu tutaelewa makusudi ya Mungu yalikuwa ni yapi.
Hakuna cha kumpenda wala nini, tambua kwamba huwezi kufa kama siku zako hazijafika,
 
ATUENDI IKULU KUTUNGA SHERIA AMUAMINI TUNAANZA NA KUWAPASUA UBUNGE MJUE DODOMA YA SASA N YA CCM TU WAPINZAN LETEN VITIMAALUM(NAHIVI WANGEVIFUTATUKWENU)
 
Ikulu sioo sehemu ya ANASA
Ikulu sio Sehemu ya WALEVI
Konyagi aka faru dume
Ikulu n MAHALI patakatifuu
 
Hahahaha, alot of funny.

Kwamba CCM, Ikitoka madarakani hivyo vyote ulivyoviandika vitakuwa sawa.

Acha kuota mchana(day dreaming) mkuu.

Bado mfumo wetu ni mbovu.

Madaraka ni matamu, hata upinzani ukiingia umaweza nogewa na kuwasahau hao uliowaandika.
Usiwe mkata tamaa wa bora liende mkuu. Unahitaji kuondoa uovu ili atakayeingia ajue hutaki ujinga!
 
Hahahaha, alot of funny.

Kwamba CCM, Ikitoka madarakani hivyo vyote ulivyoviandika vitakuwa sawa.

Acha kuota mchana(day dreaming) mkuu.

Bado mfumo wetu ni mbovu.

Madaraka ni matamu, hata upinzani ukiingia umaweza nogewa na kuwasahau hao uliowaandika.
Kwani upinzani umewahi kushika madaraka?
 
Wasalaam, ccm imetuongoza watanganyika kwa takribani miaka 59 na kuongeza umasikini miongoni mwetu. Ccm imepoteza dira hakuna Sera au mawazo mbadala inafaa ss ipumzike sababu za kuipumzisha ni hizi;
1. Rushwa(wajumbeee)
2. Umasikini wa kutupa(wanyonge)
3. Maslahi duni kwa watumishi wa umma(watawala maisha ya peponi anasa)
4. Ukandamiza wa Uhuru na democrasia
5. Usiri ktk mikataba ya madini na gesi(bunge mhimili wa ccm sio taifa)
6. Elimu duni kwa watt wa malofa
7. Ukosefu wa ajiri(wahitimu vyuo vikuu)
8. Utapeli kwa wakulima(korosho)
9. Police kunyanyasa RAIA(kesi za kubambika)
10. Ubaguzi(kurisishana madaraka, kutesa wapinzani)

tukutane Oct 28;
Delete ccm kwa manufaa ya mama tanzania, maana maendeleo yana vyama.
wote tuseme sasa 'basi'
Tuikatae tumuweke nani sasa
Yule aliyefukuzwa CCM au mzee wa MIGA?
 
Ungeweka mafanikio na matatizo na tukafanya malinganisho ndiyo tungejua ya kuwa tuikatae ccm au tuirudishe.

Sasa wewe umeandika kama kwamba hakuna mafanikio yoyote yaliyofanywa na ccm tangia iingie madarakani.

Uandishi wa aina hii ni wa mtu mwenye uwezo mdogo sana wa uelewa.
 
Mungu anampenda Lissu, ana sababu kwanini alimuokoa na mauti, taratibu tutaelewa makusudi ya Mungu yalikuwa ni yapi.
Mungu alimuokoa na kifo Lissu ili ashuhudie mchakamchaka wa maendeleo wa mh JPM. Ili ajitambue kwamba yeye ni mnafiki
 
Kama kichwa chako kinamsaada katika maisha yako hebu jiulize maswali haya halafu ukisha jipa majibu uiangalie upya post yako.
Chukulia CHADEMA wameshinda uchaguzi mkuu wa October:-
i) Ma RC watawatoa wapi?
ii) Ma DC watawatoa wapi?
iii) makatibu tarafa watawatoa wapi?
iv) ma DAS watawatoa wapi?
v) ma balozi watawatoa wapi?
vi) ma RAS watawatoa wapi?
vii). siasa inayoilinda nchi hii je wanaijua? Na kwa muda gani?
viii) Je, nchi itaongozwa kwa utulivu wa kina kama tulionao au ndio kila mmoja ataongoza kivyake kwakuwa watakuwa wageni katika maswala ya kuongoza nchi?
ix) Je,ndani ya chama wanachaguana kwa kuangalia uwezo wa mtu katika nafasi anayoitaka au wanaangalia anayeweza kuongea?
x)................?

Baada ya hapo tuweke ushabiki pembeni.

MAGUFULI4LIFE.
 
Wasalaam, ccm imetuongoza watanganyika kwa takribani miaka 59 na kuongeza umasikini miongoni mwetu. Ccm imepoteza dira hakuna Sera au mawazo mbadala inafaa ss ipumzike sababu za kuipumzisha ni hizi;
1. Rushwa(wajumbeee)
2. Umasikini wa kutupa(wanyonge)
3. Maslahi duni kwa watumishi wa umma(watawala maisha ya peponi anasa)
4. Ukandamiza wa Uhuru na democrasia
5. Usiri ktk mikataba ya madini na gesi(bunge mhimili wa ccm sio taifa)
6. Elimu duni kwa watt wa malofa
7. Ukosefu wa ajiri(wahitimu vyuo vikuu)
8. Utapeli kwa wakulima(korosho)
9. Police kunyanyasa RAIA(kesi za kubambika)
10. Ubaguzi(kurisishana madaraka, kutesa wapinzani)

tukutane Oct 28;
Delete ccm kwa manufaa ya mama tanzania, maana maendeleo yana vyama.
wote tuseme sasa 'basi'
Hakuna sababu ya kuendelea kung'ang'ania kitu kisichokuwa na faida 50+ yrs inatosha.
 
MaRC na MaDc hawatokani na vyama. Watatokana na wananchi wenye uwezo sio kama ccm anateua wanachama hohehahe wasiojiweza ndio watawale.
 
Kitakachoowaaibisha WATOTO wa MAMA MDOGO n HIKO

Wapiga KELELE Wengi awajajiandikishaa

WANAJUA hilo na Badoo WANAENDELEA kutafuna HELA za chama wakiwapa matumaini fake
Ni yeyeeee
 
Kuna wajinga wanafikiri wapinzani wana magic button watakayoibonyeza halafu hizo ndoto za maendeleo zitimie overnight.

Wewe chagua tu unayejisikia kumchagua hayo unayoyaota hakuna guarantee yakuisha au kufanyiwa kazi.

Liberia, Nigeria,DRC na Malawi walikochagua upinzani kuna jipya gani so far?

Wanaijeria bado wanafia Mediterranean Sea wakienda Ulaya,Boko Haram bado ipo, Liberia imeshuhudia internet ikizimwa kwa mara ya kwanza chini ya George Weah.
 
Back
Top Bottom