Tuungane kwa pamoja kuwaombea mapadre 30 waliofariki Italy kwa Corona

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,956
22,147
Tuungane pamoja kuwaombea pumziko la Milele Mapadre hawa ambao wamefariki Dunia nchini Italia kutokana na Virusi vya Corona.

Mapadre hawa walipata maambikizi wakati wakitoa huduma ya Kiroho kwa waathirika wa Virusi vya Corona.

Ee Mwenyezi Mungu uwape Pumziko la Milele, na Mwanga wa Milele uwaangazie. Amina

#PumzikolaMilele
#SalaniSilaha
#HurumayaMungu

FB_IMG_1584870638717.jpg
 
Tuungane pamoja kuwaombea pumziko la Milele Mapadre hawa ambao wamefariki Dunia nchini Italia kutokana na Virusi vya Corona. Mapadre hawa walipata maambikizi wakati wakitoa huduma ya Kiroho kwa waathirika wa Virusi vya Corona.

+Ee Mwenyezi Mungu uwape Pumziko la Milele, na Mwanga wa Milele uwaangazie. Amina+

#PumzikolaMilele
#SalaniSilaha
#HurumayaMunguView attachment 1395794
Mpaka leo UNAOMBEA MAREHEMU/IBADA ZA WAFU?
Ombea mapadre wote duaniani wasipate corona na wasife nje ya mpango wa mungu na si kuombea marehemu hiyo ni ibada ya sanamu,

"baada ya kifo ni hukumu" wewe biblia yako ya kirumi inakwambiaje mtu akifa? anaenda masaki kusubiri aombewe ili aende mbinguni?
 
Akilizaakoo umewazaa.masakii tu kha
Sio kwa remmy
 
You made my day hongera sana sana mkuu huwa nawashangaa sana wanaowaombea wafu hivi wanatumia andiko gani?? Utamuombeaje mtu aliyekufa?? Hivi Mungu ni mjinga kiasi hicho?! Wewe ukiwa hai ufanye ushenzi wako ukitegemea uombewe ukifa?? Huo ni upumbavu wa kiwango cha PhD acheni ujinga bana maisha yako ya mbinguni unayaandaa ukiwa bado uko hai hapa duniani. jaji mfawidhi,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mpaka leo UNAOMBEA MAREHEMU/IBADA ZA WAFU?
Ombea mapadre wote duaniani wasipate corona na wasife nje ya mpango wa mungu na si kuombea marehemu hiyo ni ibada ya sanamu,

"baada ya kifo ni hukumu" wewe biblia yako ya kirumi inakwambiaje mtu akifa? anaenda masaki kusubiri aombewe ili aende mbinguni?
Utakuwa umekaririshwa mafundisho ya Mwakasege wewe!
 
You made my day hongera sana sana mkuu huwa nawashangaa sana wanaowaombea wafu hivi wanatumia andiko gani?? Utamuombeaje mtu aliyekufa?? Hivi Mungu ni mjinga kiasi hicho?! Wewe ukiwa hai ufanye ushenzi wako ukitegemea uombewe ukifa?? Huo ni upumbavu wa kiwango cha PhD acheni ujinga bana maisha yako ya mbinguni unayaandaa ukiwa bado uko hai hapa duniani

Sent using Jamii Forums mobile app
Naniikakwambiaaa washenzi awaingii mbingunii HAOO ndioo watakufunguliaa geti mpwaa.. Huwaa wanabahati sana ya kutubuu SIKU za mwishoo we uliesafi Fanya uozo uone unafia usingizjni ukisubiri kuamka
 
Naniikakwambiaaa washenzi awaingii mbingunii HAOO ndioo watakufunguliaa geti mpwaa.. Huwaa wanabahati sana ya kutubuu SIKU za mwishoo we uliesafi Fanya uozo uone unafia usingizjni ukisubiri kuamka
umeona eeh
 
Back
Top Bottom