Tuumize ubongo wetu kutafakari kwa kina: Je, waliomuua Alphonce Mawazo hawakutumwa na mtu?

Kwani mahakamani kulikuwa na hoja kuwa mauaji yale yalikuwa ya kisiasa au la, mpaka hakimu arise hiyo kwenye judgement?
Mpaka ameeleza lazima ameraise hii ishu. Ndio maaana amesema hakuna connection ya kisiasa japokuwa waliohukumiwa ni wafuasi wa chama cha siasa.
 
Mpaka ameeleza lazima amerise hii ishu. Ndio maaana amesema hakuna connection ya kisiasa japokuwa waliohukumiwa ni wafuasi wa chama cha siasa.
Sikiliza. Nilitaka kujua iwapo kwenye proceedings suala la "siasa kuhusika kwenye mauaji" lilijitokeza. Lazima ufahamu kwamba, kwenye shauri hili mlalamikaji alikuwa Serikali. Sasa unataka kuniambia kwamba kwenye mashtaka kulikuwa na hoja za siasa kuwa sehemu ya mauaji?
 
Leo asubuhi nimetoka home Bukoli na kwenda zangu Katoro ili kuwaona washikaji,kama ilivyoada ikanilazimu nizame vijiwe vya kahawa ili kupata story mbili tatu za wadau.

Story kubwa ni kijana ambae alikuwa mjasiri na mpambanaji. Ambae alipoteza uhai wake kwa sababu ya siasa za kinafiki za Afrika.

Tuachane na bahati mbaya ya marehemu kuingia kwenye siasa za kinafiki za kiafrika na kisha kupoteza uhai wake. Je, kamanda Mawazo aliuwawa bila kuwepo na nia ovu ya kisiasa?

Maana sheria ya makosa ya jinai ya Tanzania imeweka wazi kuwa nia ovu ya kufanya mauaji ndio itakuwa kiini kikubwa cha kumtia mtu kwa kosa la mauaji.

Hakimu aliyewatia hatiani wauaji wa kamanda mawazo anakiri kuwa wauaji wa kamanda mawazo walikuwa wafuasi wa chama flani cha siasa,lakini hii sio sababu ya kuhusisha mauaji yake na siasa. Je hili linaingia hakilini?
Bukoli na Katoro kuna umbali gani
 
Sikiliza. Nilitaka kujua iwapo kwenye proceedings suala la "siasa kuhusika kwenye mauaji" lilijitokeza. Lazima ufahamu kwamba, kwenye shauri hili mlalamikaji alikuwa Serikali. Sasa unataka kuniambia kwamba kwenye mashtaka kulikuwa na hoja za siasa kuwa sehemu ya mauaji?
Kama mlalamikaji ni serikali kwa hiyo mahakama huwa haisikilizi upande wa utetezi? Ndio maana huwa inasikiliza ishu zote kisha inafanya analysis.
 
Leo asubuhi nimetoka home Bukoli na kwenda zangu Katoro ili kuwaona washikaji,kama ilivyoada ikanilazimu nizame vijiwe vya kahawa ili kupata story mbili tatu za wadau.

Story kubwa ni kijana ambae alikuwa mjasiri na mpambanaji. Ambae alipoteza uhai wake kwa sababu ya siasa za kinafiki za Afrika.

Tuachane na bahati mbaya ya marehemu kuingia kwenye siasa za kinafiki za kiafrika na kisha kupoteza uhai wake. Je, kamanda Mawazo aliuwawa bila kuwepo na nia ovu ya kisiasa?

Maana sheria ya makosa ya jinai ya Tanzania imeweka wazi kuwa nia ovu ya kufanya mauaji ndio itakuwa kiini kikubwa cha kumtia mtu kwa kosa la mauaji.

Hakimu aliyewatia hatiani wauaji wa kamanda mawazo anakiri kuwa wauaji wa kamanda mawazo walikuwa wafuasi wa chama flani cha siasa,lakini hii sio sababu ya kuhusisha mauaji yake na siasa. Je hili linaingia hakilini?
Ni fundisho kwa wanaokubali kutumika kwa maslahi ya wengine,hao wanaenda jela kama nikweli waliowatuma wapo,watawatembelea mwezi wa kwanza tu na kuwapa matumaini ya rufaa.....then hawatawaona tena

Wengine hawatakubali tena
 
Pale alipouwawa A. Mawazo ni ndani ya mita tano toka barabara kuu la lami, na hatua chache tu kuna ofisi ya chama hao mafisi na walimuua mchana kweupe!Lazima watu wa chama hicho wanausika.
 
Chama na serikali walioshiriki hiyo hukumu Ni kiini macho tu
Waliowatuma wauaji wanajulikana

Hii ndo ccm Mafia Tz
 
Back
Top Bottom