Kachero Mmakonde
Member
- Oct 13, 2016
- 19
- 24
Niwaombe akina PolePole na Viongozi wengine wa Chama cha Mapinduzi Mumuulize Mh Rais Promotion zetu lini?,Na Increments ?
Watumishi hewa hawajaisha hadi Leo kweli jamani tuoneeni huruma huku kwetu vijijini tunategemea hizo promotion kununua pembejeo za kilimo.
Msema kweli Mpenzi wa Mungu ulituambia tuvumilie Miezi Miwili ila naona tunataka kukutana na July nyingine Mh Rais Inauma saana sema tunavumilia tu ila kiukweli tunafanyakazi bora liende ule ufanisi umeisha kabisa .
Tunawaomba viongozi wetu Mnaosoma Ujumbe huu Mtuulizie kwa Rais JPM tuvumilie hadi lini ?
Tunajua tuko kwenye transition period lazima baadhi yetu tuumie ila sio hivi imezidi mkuu fikiria mtu una miaka 10 kazini hujawahi kusikia promotion.