Car4Sale Tuulize Namna ya Kuagiza Gari Bora Kwa Bei Nafuu Kutoka Japan, U.k, Dubai, Singapore

View attachment 1898384

KARIBU LEO!! TUKUAGIZIE GARI LENYE
VIWANGO VYA JUU, GHARAMA NAFUU
💎
2009 NISSAN DUALIS CROSS RIDER
Petrol | 1990cc | 4WD | 41000km
Back Monitor ,HID Light
Car Navigation System
💎
BEI NA USAJILI Tsh. 21.4milion
Hakuna Gharama za Ziada ,
Malipo awamu mbili tu.!!!
💎
WASILIANA NASI ☎ 0767 328 063

OFA ZETU:
🔥Punguzo kabambe🔥Fire extiguisher bure
🔥Triangle bure🔥Bima ya mwaka mzima.

💎 Office Zetu Zipo Ghorofa Ya 5
Jengo La Salamander Tower( Gsm )
Samora Avenue ,Posta (Sanamu Ya Askari)

View attachment 1898385

View attachment 1898386

View attachment 1898387

View attachment 1898388

View attachment 1898389

View attachment 1898390

View attachment 1898391

View attachment 1898392

View attachment 1898393
mkuu awamu ya kwanza nalipia bei gani......na malipo ya pili yanatakiwa baada ya muda gani..thanks
 
Nahitaji Ford F-150 ya mwaka kati ya 2016 na 2018. Angalia kama zinapatikana Dubai unitume PM kuniarifu gharama na taratibu zake.
 
Matapeli tu hamna lolote
Mkuu umefika unaweza ukaelezea umetapeliwa kitu gani na kampuni yetu .??
AU una ushahidi na je umeenda sehemu husika kuripoti utapeli wa kampuni hii ??
Tafadhali sana kabla ya kusema jambo jaribu kuwa na busara hata kidogo.

KARIBU SANA OFFISINI KWETU AU TUPIGIE SIMU IKIWA UNA JAMBO LA KUULIZA .

KARIBUNI SANA AUTOMASI COMPANY LIMITED
 
8da9de49-cda5-4f54-a523-867d28b3fb42.jpg


.
Tupigie Simu | Text Message.
0767 328 063 | 0767 328 063
.
🍂SO FRESH,SO CLEAN, KATI YA MAGARI
YA WATEJA WETU YALIYOWASILI LEO

KARIBU TUKUAGIZIE MAGARI MAZURI, BEI NAFUU,
UBORA WA VIWANGO VYA JUU
💎
Bajeti Yako Inatosha Kupata Gari Ya Ndoto Yako.
Direct Kutoka minada ya Japan, U.K & Singapore
💎
Ubora Wa Huduma (Corporate Treatment) Na Gari
Lako Ni Zingatio Namba Moja Kwetu.
💎
Huduma Zetu Ni Shirikishi Ambapo Utapata Taarifa
Zote Mpaka Utakapo Pokea Gari Lako.

💎Malipo Ni Kwa Awamu 2,
🍂
Tumeongeza Offer kwa Wateja watakao Agiza Gari
Kuanzia 15th NOVEMBER 2021

1.FULL TINTED
2.FULL CAR RIBIT

BIMA,FIRE NA TRIANGLE offer inaendelea

Tupigie Simu | Text Message.
0767 328 063 | 0767 328 063
🍂
Office Location | Salamander Tower( Gsm
Mall) |Samora Avenue ,Posta Mpya | Dar Es Salaam.

1c7f54a7-b097-40d6-9a94-d491b070ca79.jpg


aa4e8946-5042-4bda-98ab-8dfa123cc709.jpg


b7263596-7252-4a86-ac67-b4371ee10244.jpg


e07f29d5-60ba-4add-b556-f0527b962221.jpg
 
Mkuu umefika unaweza ukaelezea umetapeliwa kitu gani na kampuni yetu .??
AU una ushahidi na je umeenda sehemu husika kuripoti utapeli wa kampuni hii ??
Tafadhali sana kabla ya kusema jambo jaribu kuwa na busara hata kidogo.

KARIBU SANA OFFISINI KWETU AU TUPIGIE SIMU IKIWA UNA JAMBO LA KUULIZA .

KARIBUNI SANA AUTOMASI COMPANY LIMITED
Huyo Masokwe ni nani tena kwenye kampuni yenu? Nae ni muhusika upande wa marketing? Mbona anatumia fake ID, atleast wewe unatumia jina la kampuni.
 
Mnaagiza wenyewe? Au nachagua gari ninayoitaka ndio mnaagiza?
 
AUTOMASI COMPANY LTD
Car Dealership
MOTOR VEHICLE IMPORT COMPANY™
AUCTION DEALER®JAPAN, DUBAI & UK...
HIGH QUALITY, RELIABLE & DURABLE VEHICLE
📱0767 328 063
📌OFFICE LOCATION: 5th Floor,
Salamander House-Gsm, Posta
Samora Avenue. Dar Es Salaam.



View attachment 1805066






IMPORTANT NOTIFICATION / TAARIFA MUHIMU

View attachment 1759541

SECURITY NOTICE FOR PAYMENT​

In order to protect both our Customers and Employees.
AUTOMASI C.O LTD forbids its Agents from accepting any form of payments, neither allow the staff to conduct any type of Transactions [Including TT Transfers] on behalf of the Clients.
Doing so [Receiving, Transferring, Making Payment] is at the sole discretion and entire responsibility of the individuals involved. AUTOMASI shall not be in any way responsible for any extra cost or Loss arising from such transaction.
AUTOMASI reserves the right, in its sole discretion to cancel, terminate, modify or suspend the ongoing Deal with the concerned customer.

BANK ACCOUNT DETAILS /PAY VIA​

Bank Name CRDB BANK
Swift Code CORUTZTZ
Branch Name AZIKIWE PREMIER
Account Name AUTOMASI COMPANY LIMITED
Account Number 150576089900


[Swahili]
Wafanyakazi wetu hawaruhusiwi kupokea malipo ya aina yoyote ndani na nje ya ofisi husika.
Wafanyakazi wa Automasi Tanzania hawaruhusiwi kutuma hela kwa niaba ya Kampuni (Automasi C.O Ltd) wala kwa niaba ya wateja.

Tafadhali epukeni kuwaomba wafanyakazi wa Automasi Tanzania kuwasaidia katika kufanya malipo ya awamu ya kwanza ya CNF. Hawaruhusiwi.

Tafadhali epuka kutuma au kulipa hela kwa mfanyakazi wa Automasi Tanzania.

Wewe kama mteja, ukikabidhi pesa kwa mfanyakazi wa Automasi Tanzania, basi wewe mteja ndiye utakae kuwa na madaraka na hizo fedha.

Tunawaonya wateja wetu wote kwamba ukifanya hivo kwa mfanyakazi wa Automasi Tanzania, basi kampuni inaweza kuchukua sheria kama kuna uharibifu wowote kwenye kampuni.

Pesa zote zitumwe katika Akaunti ya bank ya AUTOMASI COMAPNY LTD. Baada ya kupewa Invoice ya malipo yenye muhuri wa halali wa kampuni.

Asanteni.

Kwenye tafsiri ya kiswahili Kuna kisehemu umeacha. Embu tafsiri ile sehemu ya mwisho, kuhusu haki ya kucancel ongoing deal.
 
🍂IN DAR ES SALAAM STOCK
LIPIA NA UONDOKE NAYO, LEOLEO !!

TOYOTA PRADO TZ
Model: 2003/04 ,COLOR : WHITE
Engine :- 2700cc 3RZ Petrol Engine
Extra Features: Sunroof, 4 Wheel,
5 Seats, Auto Mirors, Roof Rails,
Clean Interior:-

-Bei zetu ni kila kitu hadi usajili
-BEI YA GARI | Tsh 58,9000,000/=
🍂
Tupigie Simu | WhatsApp
☎️0767 328 063
📧sales@automasi.co.tz
💎
📍Tunapatikana Posta Samora Avenue.
Jengo la Salamander Tower (GSM)
Karibu na sanamu ya Askari,Gorofa ya 6

View attachment 2151452

View attachment 2151453

View attachment 2151454

View attachment 2151455

View attachment 2151456

View attachment 2151457

View attachment 2151458

View attachment 2151459

View attachment 2151460
Hii takataka kwa 59 million?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom