Tutumie fursa iliyotolewa na LHRC katika kupambana na uchakachuaji | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tutumie fursa iliyotolewa na LHRC katika kupambana na uchakachuaji

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Gosbertgoodluck, Oct 31, 2010.

 1. Gosbertgoodluck

  Gosbertgoodluck JF-Expert Member

  #1
  Oct 31, 2010
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 2,866
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Ndugu zangu kama kuna suala lolote lisilo la kawaida au linavuruga haki ya mtu kupiga kura kwa uhuru na kwa siri basi tunaweza kutuma kwenda LHRC ili wasaidie kufuatilia. Maelekezo tuliyopewa kupitia simu za mikononi ni kama ifuatavyo:

  "Toa taarifa ya vitendo visivyo vya kawaida katika uchaguzi kama vitisho n.k. Kutoa taarifa tuma KITUO CHAKO, acha nafasi, andika TAARIFA kisha tume kwenda 15540".
   
Loading...