TuTuhuma za ufisadi ulioibuliwa na shelukindo: wataalamu wa mahesabu tupeni mchanganuo wa hizi fedha | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

TuTuhuma za ufisadi ulioibuliwa na shelukindo: wataalamu wa mahesabu tupeni mchanganuo wa hizi fedha

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Inteprevist, Jul 19, 2011.

 1. I

  Inteprevist Member

  #1
  Jul 19, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 5
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Serikali ya magamba imekuwa kila siku inakuja na maelezo ya kuchakachua kuhusu tuhuma mbalimbali zinazoelekezwa kwa serikali. sasa sijui watatuambia nini kuhusu huu ufisadi wa bil 1,050,000,000/=. sijui Jairo atatoa mahesabu gani kuhalalisha hiyo hesabu kubwa ya kifisadi namna hiyo kwamba imekwenda kusaidia uwasilishaji wa bajeti. kama kila wizara inatumia kiasi kikubwa hivi kwa uwasilishaji wa bajeti tena kwa hatua za mwisho kama barua ya KM Jairo ilivyosomeka basi ujue watanzania tunasubiri arobaini yetu tu. kwani tulishafariki na kuzikwa siku nyingi.

  Hebu wataalamu wa hesabu tusaidieni kuonesha ni namna gani hizi fedha zingesaidia jamii kama zingeenda kwa mashule
   
Loading...