Tutorial assistants job ( CBE & DIT)

denis fourplux

JF-Expert Member
Joined
Aug 17, 2017
Messages
536
Points
1,000

denis fourplux

JF-Expert Member
Joined Aug 17, 2017
536 1,000
nauliza eti tutorial assistant wa vyuo vya serikali wanalipwa mshahara unaofanana ?au inategemea chuo na chuo kama hivyo mbona ajira nyingine za chuo wanatoa chuo chenyewe zingine zinatoka kupitia ajira portal nisaidieni wajuzi wa mambo
Kila chuo na mshahara wake ila soon vyote vinakua na mshahara mmoja
 

Forum statistics

Threads 1,344,041
Members 515,307
Posts 32,805,683
Top