tution teacher for science subjects and french

Goar

Member
Jun 17, 2010
18
1
kwa wanaohitaji tution kwa masomo ya science na pia kwa wale wanaohitaji french lessons, am a mobile teacher anaeweza kukufundishia mahali unapopenda wewe kwa muda unaokufaa. email me your number nitakupigia. tiffanymorgan709@gmail.com
 
duh ndugu sasa binti yangu si utamfundishia kitandani akitaka hivyo
hebu toa mipaka ya viwanja vya kazi yako maana umenitisha japokuwa nahitaji mwalimu wa french.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom