Kuwajengea uwezo wa kiutendaji...Tuache pia ku promote watu bila kuwapa real practice na exposure...Kisha kuna wengine wazuri ambao pia hawapewi nafasi ya ku practice ili waje kutumia akili zao kukwamua nchi...Kiufupi succession plab yetu ya uongozi na utaalamu ina mushkeli...Haipo objective kabisa...Ina promote watu ambao ni ma opportunist na kuacha wale ambao ni objective na rationalAkili za darasani ni Tatizo la Kitaifa kwenye Ofisi Nyingi tu Tanzania...sijui suluhu yake ni nini?!